Wanafunzi wa udsm wanaoongoza kufanyiwa thesisi mtaani kwa nini??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa udsm wanaoongoza kufanyiwa thesisi mtaani kwa nini???

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimla, Aug 26, 2012.

 1. K

  Kimla JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI ILI TULISAIDIE TAIFA
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kila siku tukisema ni vilaza wanatokwa mapovu hawana lolote ni kukuriri tu wakifika kwenye real life hawawezi kuaply
   
 3. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  acheni majungu yako wewe mwenyewe ulitaka sana kusoma udsm but kufaulu kwako kwa kuunga unga kukakufanya ukasome vyuo vidogo udsm itabaki kuwa chuo kikuu achen majungu hayo,unafundishwa na degree holder unategemea utakuwa na uelewa gani udsm tunafundishwa na ma dr and prof mtakufa kwa wivu alikwambia nani usifanywe vizur form 6
   
 4. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Katika tafiti yangu ambayo nimefanya hivi karibuni nimegundua kuwa asilimia kubwa ya watu wanaochukia UDSM ni vilaza ambao kutokana na kuchemka kwao walikosa nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na UDSM baada ya kujaribu zaidi ya mara moja, hivyo wameweka chuki kali dhidi ya wote waliosoma UDSM na chuo hicho. Napenda kusema wazi kuwa mimi ni mhitimu wa SAUT!
   
 5. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla sijachangia naomba unijbu swali hili wewe mleta uzi,
  Wewe umesoma/unasoma chuo gani??
   
 6. K

  Kimla JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu wewe fuatilia hasa watu wanaosoma masters za biashara (MBA),arts,sheria na hasa hawa madingi wanaofanya kazi kwenye taasisi za serikali na wanaongoza kufanyiwa thesis zao mtaani. Na wengi wanalipa kati ya sh laki nne mpaka sita.Nadhani wanafanya hivyo kwa kuwa wanataka kuwa na sifa za kupata masters ili amuonyeshe mwajilia ambaye ni serikali.Naamini hata baadhi ya wanafunzi wa aina hiyo hasa kwa vyuo vya DSM wanafanya hivyo.Fanyeni utafiti wa kitu ninachokisema msiibishe tu.
   
 7. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  sasa kwa taarifa yako mba yeyote ya udsm ni shule kweli achana na hizo za mzumbe
   
 8. K

  Kimla JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Theory tu kila mtu anajitahidi ila nimesema tatizo liko kwenye thesis za msters zao ndo issue.tafitini ninachokiseam mutajua ukweli
   
 9. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Aina gani ya utafiti umefanya?umetumia method ipi kukusanya takwimu zako?sample size?confounding factors?limitations?...naona ushaanza kupagawa,acha niishie hapo!!
  Usilete mada za kishabiki na za vijiweni..mada zisizo na mashiko..!!
   
 10. Sinewy

  Sinewy JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Chuki na majungu.
   
 11. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Pole sana mkuu, inaonekana unaumia sana ukisikia Univesty of Dar es Salaam. Ukiwa kilaza lazima na mawazo yako yawe yaukilazalaza. Itafikia kipindi hata kazini tutakuwa tunawabagua kuwaajiri. Si mnajifanya mnajua sana kuandika. Makabila, udini naona mmefanikiwa sasa mnahamia kukikandia Chuo kikuu cha Tanzania
   
 12. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wewe unaonekana mzushi tu.Kama wanafunzi wa UDSM wanaongoza mbona hukuonesha wanaowafuatia hadi wa mwisho? Nadhani umepata elimu yako ktk kile chuo kikuu cha wakata kiu pale mji kasoro bahari!
   
 13. K

  Kimla JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  kama mtu amegraduate MBA mwaka jana na unamuuliza title, objectives, na conclusion ya thesis yake wakati wa interview. Lakini Majibu yake yanakuwa hayaendani .Mfano title anasema suala la masoko ya nyama ya Ng'ombe.Conclusion , anakwambia kuhusu masoko ya masula ya madawa ya binadamu.Na hawezi kutetea link.

  Nasema UDSM ni chuo bado bora ila mfumo wa kudahili wanafunzi wengi unawafanya maprof na Dr kukoswa mda wa kuwasimamia kwa ukaribu hivyo watu kutafuta loopholes za kufanyiwa thesis mtaani na hasa ukichukulia watu wengi wanakuwa na tamaa za kugraduate within 2yrs.

  Kwa hiyo kubisha tu haisiidii nadhani ni muhimu kuangalia mfumo na workload za maprofessor wetu kuliko kuseam qulity ya elimu yetu ya UDSM na vyou vingine kuw bado iko juu kama miaka ya 90.
   
 14. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Amekuchokonoa ili ukautafute ukweli usizoee tu vya kutafuniwa mkuu, nashukuru kwa kuwa unatambua hawa wakata kiu wako nondo, sasa jitahidi kuwa mbunifu kama hawa wakata kiu wa moro...
   
 15. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kuandikiwa thesis mtaani linaweza kuwepo. Lakin kwamba UDSM ndo inaongoza, ni vigumu kuthibitisha. Kungekuwa na utaratibu wa kuzitetea hizi thesis (ku-defend) ktk level ya Masters labda ingesaidia. Nafahamu kuna baadhi ya idara ktk baadhi ya vyuo hufanya hivyo.
   
 16. M

  Mringo JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mimi nimesoma Engineering UDSM ninaweza kukuthibitishia kwa 100% hakuna uwezekano wa mwanafunzi wa pale kuandikiwa thesis..Utaratibu wa kudefend proposal mara mbili na final mara mbili hauwezi kukuacha salama kama unafanyiwa na mtu..Nakuthibitishia Tanzania hakuna chuo makini kama UDSM labda kwa baadhi ya skuli..Usijipe moyo kwavile umesoma st.** na munaridhishana huko mtaani kwamba sote tunapata elimu ya kuunga unga..ukitaka kuthibitisha pitisha mguu wako pale kama mwaka wapili utavuka..Kubali ukweli UDSM ni nomaaa
   
 17. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wewe? Wa koz gan hao? Nakumbuka kwa LL.b..wanafunz wa SAUT,TUMAINI walikua wanakuja kutusumbua 2wafanyie izo disateshn,4m Laki3 ad 5...!
   
 18. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  swadakta mkuu....hasa Tumain ya Dar na Makumira..duh,hawa wanafunz ni matatzo kwakwel
   
 19. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ooooh!, UDSM i love youu UDSM...Hata nikifa leo Cv yangu ipo swaafi coz nimepiga Udsm...chezea Nkrumah hall ipo kwenye jero...katafute Chimwaga kama utaiona..mkuu wa chuo wa kwanza Nyerere...pia yupo kwenye noti....wakata vipii
   
 20. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kama hizi ndio hoja zako za utetezi wa ubora wa chuo....duh huna tofauti na asiye graduate kifikra. Jipange mdau
   
Loading...