Wanafunzi wa UDSM na MUHAS wanaishi kama panya

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
474
Kutokana na vaga la fukuza fukuza linaloendele mpaka sasa katika chuo kikuu cha Dar es salam na Muhimbili limewafanya wanafunzi waishi maisha ya hofu na uoga , wengine wakiogopa hata kujipitisha sehemu za utawala .Mwanafunzi mmoja kutoka muhas aliripoti akisema bwana hali ya maisha ya chuo imekuwa mbaya ukikamwata unaongelea mapungufu ya chuo unapewa barua ya suspension, pia UDSM nako hali ni tete wanafunzi wanaishi kama panya wana hofu maisha ya chuo yamekuwa yakutishiwa . Jamani naona tumefika siku za Mwisho tushikeni neno la mungu haki ipo kwa mungu tutulie tuombe maombi ya asubuhi na jioni mungu ataokoa
 
Sio huko tuu hata UDOM ukiongea tuu mapungufu ya chuo unaambiwa wewe umetumwa na CHADEMA na unafukuzwa au wanakususpend fasta ss sijui hv chuo wasome ccm tuu hata cc tusiokuwa na chama tunaangamia.
 
Sio huko tuu hata UDOM ukiongea tuu mapungufu ya chuo unaambiwa wewe umetumwa na CHADEMA na unafukuzwa au wanakususpend fasta ss sijui hv chuo wasome ccm tuu hata cc tusiokuwa na chama tunaangamia.

wanachokifanya nikutengeneza taifa la watu waogo
 
Aiseee bora mie nimemaliza hapo lakini ningehakikisha naishusha chini jengo la utawala kama al-qaeda walivyoshusha twin towers.
 
Vijana waache kutumia vyuo kama majukwaa ya kisiasa, wafanye kilichowapeleka chuo
 
Back
Top Bottom