wanafunzi wa udom (udom chamber) walipotembelea kituo cha cha watoto yatima miuji mkoani dodoma

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
nimefurahishwa sana na jana jinsi wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma walipofanya ziara ya kutembelea kitua cha watoto yatima miyuji nje kidogo ya mji wa dodoma walipeleka zawadi mbalimbali kama unga wa sembe kilo 30 sabuni ya unga kilo 15 chumvi madaftari,kalamu,sukari kilo 15 sabuni za vipande box 2 na mbuzi kitendo hichi kimenifurahisha na wanafunzi wa vyuo vingine yapaswa muige
picha kwa hisani ya bongostarlink
 

Attachments

  • vitu.jpg
    vitu.jpg
    12.5 KB · Views: 48
  • now.jpg
    now.jpg
    60.9 KB · Views: 56
Back
Top Bottom