Wanafunzi wa UDOM ambao ni wafuasi wa CHADEMA watishia kuandamana

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHASO), wametishia kufanya maandamano ikiwa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), hakitamrejesha chuoni hapo mwanafunzi wa chuo hicho, Victor Byemelwa, aliyemsimamishwa kwa kile wanachodai ni sababu za kisiasa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama jana, Mwenyekiti wa umoja huo, Jafary Ndege, alisema wanataka chuo hicho kimrejesha masomoni haraka na kwamba ikiwa hawatafanya, hivyo wataandamana kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kushinikiza arudishwe.

“Tunawataka viongozi wa chuo hicho kumrejesha shuleni mwanafunzi huyo na kama wataendelea kukaa kimya tutafanya maandamano makubwa ya kushinikiza chuo hicho kimrudishe masomoni mwenzetu na yataanzia Dar es Salaam kwenda Dodoma katika siku ambayo tutatoa taarifa kwenye vyombo vya habari iwapo ombi letu litapuuzwa,” alisema mwenyekiti huyo.

Ndege aliitaka serikali kutoa onyo kwa wanasiasa na kuacha kuingilia utendaji wa vyuo vikuu kama ilivyotokea kwa chuo hicho na kusababisha kufukuzwa mwanafunzi huyo kupitia kwa mshauri wa wanafunzi kwa barua yenye kumbukumu no Re.UDOM/DOS/36 ya Februari 5, 2016.

Kuhusu, suala la kufutiwa usajili kwa vyuo vishiriki vya St. Joseph Songea na Arusha, na baadhi ya vitivo katika chuo kikuu cha Kampala Dar es Salaam, alisema wameshangazwa na hatua hiyo iliyochukuliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kuwa imechangia kwa kiwango kikubwa kurudisha nyuma maendeleo ya wanafunzi wa vyuo hivyo.

Alisema kama TCU ilikuwa inafahamu kwamba havikuwa vimekidhi vigezo ni vema isingevipa usajili kuliko usumbufu unaotokea kwa wanafunzi hao hivi sasa.
 
Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chaso), wametishia kufanya maandamano ikiwa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM), hakitamrejesha chuoni hapo mwanafunzi wa chuo hicho, Victor Byemelwa, aliyemsimamishwa kwa kile wanachodai ni sababu za kisiasa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama jana, Mwenyekiti wa Umoja huo, Jafary Ndege, alisema wanataka chuo hicho kimrejesha masomoni haraka na kwamba ikiwa hawatafanya, hivyo wataandamana kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kushinikiza arudishwe.

“Tunawataka viongozi wa chuo hicho kumrejesha shuleni mwanafunzi huyo na kama wataendelea kukaa kimya tutafanya maandamano makubwa ya kushinikiza chuo hicho kimrudishe masomoni mwenzetu na yataanzia Dar es Salaam kwenda Dodoma katika siku ambayo tutatoa taarifa kwenye vyombo vya habari iwapo ombi letu litapuuzwa,” alisema mwenyekiti huyo.

Ndege aliitaka serikali kutoa onyo kwa wanasiasa na kuacha kuingilia utendaji wa vyuo vikuu kama ilivyotokea kwa chuo hicho na kusababisha kufukuzwa mwanafunzi huyo kupitia kwa mshauri wa wanafunzi kwa barua yenye kumbukumu no Re.UDOM/DOS/36 ya Februari 5, 2016.

Kuhusu, suala la kufutiwa usajili kwa vyuo vishiriki vya St. Joseph Songea na Arusha, na baadhi ya vitivo katika Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam, alisema wameshangazwa na hatua hiyo iliyochukuliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kuwa imechangia kwa kiwango kikubwa kurudisha nyuma maendeleo ya wanafunzi wa vyuo hivyo.

Nalo jambo
 
alah nyie wajinga nini sisi huku serikali tunakamuliwa kodi ili mkopeshwe musome nyinyi mnataka kuleta ujinga fukuza wote
 
Walete fyokofyoko
Waone watakavyo fyokolewa
Maana ujinga wao usiwe shida kwa wengine
 
alah nyie wajinga nini sisi huku serikali tunakamuliwa kodi ili mkopeshwe musome nyinyi mnataka kuleta ujinga fukuza wote
Hao wanawashwa
Waache wapate chamoto
Kama pesa ya kununulia mafuta ya magari ya polisi ipo
Kwahio wabipu Wapigiwe
 
Wa

Wavae fulana za "malofa na wapumbavu katika ubora wao"
 
alah nyie wajinga nini sisi huku serikali tunakamuliwa kodi ili mkopeshwe musome nyinyi mnataka kuleta ujinga fukuza wote

Acha ujinga Wewe kodi yako imeliwa na safari za nje sizizo na tija, mzee wa vijisent, mama wa hela za mboga, mikataba feki.

Wanafunzi kwa taarifa yako wamarejesha hiyo mikopo wakiajiriwa achakufyatuka kama umetoka usingizini unaota ndoto za bunuasi.
 
Hao wanawashwa
Waache wapate chamoto
Kama pesa ya kununulia mafuta ya magari ya polisi ipo
Kwahio wabipu Wapigiwe
Ha ha ha we kweli kituko! Huoni aibu kusifu eti hela ya mafuta ya magari ya polisi IPO kwa ajili ya kupambana na wanafunzi wa nchi yako lakini hela ya kununua drip za wagonjwa hospitali ya Sinza Palestina hakuna na wagonjwa wa Kitanzania wanapoteza maisha kwa hilo tuu?
 
Hawa ndio aina ya wasomi tulionao wanaacha masuala ya msingi yaliyowapeleka chuo wanafuatilia mambo ambayo hayawahusu......Na mkiandamana MTAPIGWA TU.
 
USIFANYE FUJO!! umeambiwa usifanye hiki ukakaidi WATAKUPIGA TU. eeh mana hamna. lazima tukubaliane kwamba kila nchi inaongozwa kwa misingi ya sheria. sasa wewe umeambiwa usifanye hiki HUTAKII, ukajiona we ni IMARA zaidi ukajiona we ni JEURI zaidi WATAKUPIGA TU nami nasema MUWAPIGE TU. mana tumechoka sasa.
 
nimependa sana hiyo ya Tshirt " Sisi malofa katika ubora wetu"
halafu nashauri watu wawe wanasoma alama za nyakati this is not JK era
 
Back
Top Bottom