Lordita
Member
- May 11, 2017
- 16
- 16
Wale wanafunzi wa diploma maalum ya ualimu wa sekondari masomo ya sayansi na hisabati waliohamishiwa vyuo vya Korogwe na Kasulu kutokea UDOM wametelekezwa baada ya wanafunzi kushindwa kwenda field kwani serilikali kutotoa pesa na serikali iko kimya mpaka sasa.
Wanafunzi hapo wamemaliza mitihani yao mwezi na nusu sasa na wamebakia vyuoni wakisubiri kwenda field japo mpaka leo haijaeleweka ni lini wataenda field.
Pia kumekuwa na wasiwasi juu ya ajira zao hata kama wataweza kuhitimu kozi hiyo kwani kuna dalili kama wanasukumwa ili mradi wamalize tu waende zao.
Hivyo serikali kupitia wizara ya elimu itoe majibu kwa wanafunzi hawa badala ya kuwatelekeza.