Elections 2010 Wanafunzi wa sekondari wa kawe wamuhakikishia halima mdee ushindi

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Tukiwa tumesaliwa na siku chache kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika, wanafunzi wanao soma jimbo la KAWE wajitokeza kwenye mdahalo wa jimbo la kawe uliyo andaliwa 'FEMA' kwa kauli yao moja wsema wanaanza kuelimisha wanafunzi wenzao kuhakikisha wanapiga kura kwa CHADEMA na wameapa kuwa watakuwa mawakala wake kwa gharama zao, CCM TUPA KULEEEEEE
 
Good wasomi. Kama mliangalia TBcLeo mida ya saa saba mngeona Mbatia alivyo mtupu:.....hewa....kabisa, Mdee yuko juuuuu
 
Mbatia ni opportunist! Ukiona Mwenyekiti wa chama tena cha upinzani anakuwa na msimamo wa kusitasita na kuanza kulaumu wapinzani wenzake ujue kwamba amezidiwa kila kona. Yuko tayari kutumiwa na ruling party kuwabomoa wenzake ili baadae apate kitu kidogo.
 
Duh! Habari hovyo kabisa... Wanafunzi wengi wa secondary ni under 18, watampa vipi ushindi Mdee ingali hawana sifa za kupiga kura?
 
Duh! Habari hovyo kabisa... Wanafunzi wengi wa secondary ni under 18, watampa vipi ushindi Mdee ingali hawana sifa za kupiga kura?

Siyo wote ni under 18 Mkuu kuna baadhi ni 18 and above 18 mkuu
 
Mungu awe nawe Halima Mdee, akuwezeshe ushinde na uendelee kuwa kikaango cha mafisadi
 
labda pia kama watamsaidia kuondoa na zile chunusi usoni,lakini kumpa ushindi mmekwenda nhomo nyiiiiiiiiiiiiiiiiie!
 
labda pia kama watamsaidia kuondoa na zile chunusi usoni,lakini kumpa ushindi mmekwenda nhomo nyiiiiiiiiiiiiiiiiie!

Hivi jamaa upo katika ulimwengu gani? Hawa Sisiem wamejaa ubinafsi kuliko maslahi ya taifa, nina mashaka na uraia wako... Hauna uzalendo kabisa.
 
Back
Top Bottom