Wanafunzi wa O-Level waliochaguliwa chuo 2022 wanaweza kubadilisha chuo alichochaguliwa?

erama

New Member
Mar 31, 2020
1
1
Wakuu hivi inawezekana kwa awa madogo walichaguliwa kujiunga na chuo. Je, anaweza kuhama chuo alichochaguliwa na kuhamia kingine?
 
Nimeiona sehemu hii jamani inawezekana kubadilisha combination au hiii system imeshafunguliwa,mwenye kufahamu hili atujuze wakuu
Screenshot_20220516-153730.jpg
 
Wakuu hivi inawezekana kwa awa madogo walichaguliwa kujiunga na chuo. Je, anaweza kuhama chuo alichochaguliwa na kuhamia kingine?
Naomba ufafanuzi zaidi.
Nimechaguliwa kusoma chuo lakini nataka nisome kidato cha tano badala ya kwenda chuoni.
Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom