Wanafunzi wa mwaka wa kwanza shahada ya Uzamili Muhimbili wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza shahada ya Uzamili Muhimbili wagoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kizimkazimkuu, Jan 6, 2011.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ..Wanafunzi wa shahada ya Uzamili(mwaka wa kwanza) wa chuo kikuu cha sayansi ya afya na tiba Muhimbili (MUHAS) wamegoma na na sasa wapo wizara ya afya kushinikiza kulipwa fedha zao za kujikimu ambazo hawajalipwa takribani miezi miwili tangu chuo hicho kufunguliwa.

  NB: Usiulize source, mimi mwenyewe ndio source
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 418,988
  Trophy Points: 280
  Msukumo mkubwa wa kuibana hii serikali ni ufisadi...............inakuwaje wezi kama DOWANS mazingira yanajengwa haraka haraka kuwalipa lakini wale wenye shahiki za kweli wanbabaishwa tu?
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  kazi ipo
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mapambano yanaendelea
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tunako elekea lazima serikali ijiulize hii ni karne ya ngapi?
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  moto unawaka sasa
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  WNAJESHI WALIOKO ARUSHA WATALETWA WOTE KUWASAMBARATISHENI NA KUWAPIGA VIRUNGU NA MABOMU....SUBIRI MUONE SERIKALI YA KIKWETE.........TULIWAAMBIA MSICHAGUE KIKWETE MKAONA TUNAWAONEA SASA MSIDAI HAKI TENA...AU MNAFIKIRI WENZENU UDOM KUMPA PHD (Pure Head Damage) KIKWETE WALIKOSEA?......KM WALIKOSEA BASI TANGAZENI KUWA NI BATILI
   
 8. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dowans wanajilipa baada ya uchaguzi mkuu.
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Ccm inanyanyasa watz...kwani lazima watu wagome kwanza kabla ya kupatuiwa haki zao?
   
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu Mkwere ataona madhara ya kukumbatia mafisadi
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkwere tafadhali sana jiuzulu heshima yako inashuka!
   
 12. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  HII NDO SIASA ZA KINAFIKI.....mnasema sisiem imepiga watu....makamba yupo pale.....sitta yupo pale....? au kuna shati la kijani na njano pale....... ACHENI FUJO KAMA MTAPOKEA VIRUNGU
   
 13. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ungea kwa kutumia mdomo mkuu, sio hicho kiungo.
  Kwani amri ya kupiga watu inatoka wapi?
   
Loading...