Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,074
- 1,553
Hiyo sababu si ya maana. Watu hawafanyi maamuzi sababu wewe ulishawahi kuyafanya. Yeye haamini katika kufanya kazi siku ya saba wewe uliamini, yeye atakuwa na maisha ya aina fulani na wewe unayo ya aina yako. Watu wenye misimamo wakati mwingine huwa wanafanikiwa sana. Hapo unaweza kuta huyo hataki kuiasi sabato anayoiamini lakini unakuta ni mzinzi kweli, au hata bia anakunywa. Lakini ameshaamua kuwa sifanyi mtiani leo regadless of consiquenses.Watu tumefanya mitihani na presentation siku za pasaka na jumapili kwanini wasiwe wao? ngoja wajaribu kupima kipi kinawagharimu kati ya kuwepo mtaani sababu ya sabato na kufanya mtihani siku ya sabato. Jibu watalipata.