muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Habari wana JF,
Kama kuna anayejua hatma ya hawa vijana ambao Serikali iliwapangia kwenda kusoma Vyuo vya Ualimu level ya Diploma na baada ya miezi sita chuoni wakarudishwa nyumbani kwa kuambiwa vyuo vimefungwa wakisubiri muongozo wa Wizara juu ya mtaala wao hatma yao ni nini!?
Wengi walipata ufaulu mzuri wa daraja la pili katika matokeo yao na wamerudi mtaani tu. Kwanini Serikali isiwapangie Secondary tuu wakasome Kidato cha Tano na Sita kuliko kupoteza future za hawa vijana.