Wanafunzi wa IFM fanyeni haya kama mnataka kuishi salaama

point safi sana..
na pia jeshi la police limulike sana eneo la kigamboni pilice hawana kazi yakufanya kule wamekalia wizi na rushwa tu mbunge wa kigamboni uko wapi wewe ndugulile hamna haki kule ,nakiri kwamba pilice wanawajua sana hao wezi na wakitaarifiwa hawaendi hata kwa dawa ,police waseme wazi wao wanawalinda kina nani,kule ninakoishi mimi tumewaua sana navosikia aliuawa mpaka mtoto wa mkuu wa kituo cha bunju na wananchi wakamnyanganya bastola kumbe ile dili ilikuwa ya police wamekuja pale wakaanza kuwalaumu wananchi kwa nini wamemuua mtoto wa police mwenzao ,toka siku ile kule kwetu mwizi anauawa ndiopo tunamwita police aje kuchukua mzigo wake.na watu wamejikoki ukikamatwa hutoki nakwambia na imepunguza sana ujambazi maana ilikuwa wanapitia hata nyumba saba kwa siku moja ,watu wakaend wanunulia silaha tumefanikiwa kuwaua wengi tu.Alivamiwa jirani yangu akawa na namba za police kuwapigia wakapokea wanamwambia tukija huko kuna maji ya kunywa akawaambia hamna hawakwenda wajamaa wakamwibia power window za gari lake.
 
ndio hichi sasa kinachotakiwa kufanyika sio kuwa peleka polisi halafu wanarudi mtaani kitu bora ni moto tu..

#RipKumbwigenaMorokoMashine mwananyamala wanawajua hawa wezi..
 
name calling is not allowed at JF sorry sir You Are Banned for 3 days!

==========================================
Since when!!??? Unataka watu waendekeze huu -----? You should BAN yourself for being such a Lady Gaga ( Name calling) Ooops.
 
Since when!!??? Unataka watu waendekeze huu -----? You should BAN yourself for being such a Lady Gaga ( Name calling) Ooops.

ulisoma vizuri sheria za JF au unakurupuka tu kama unajisaidia kichakani..
 
DSC_0282.JPG

Mhhhh........
 
ndio hichi sasa kinachotakiwa kufanyika sio kuwa peleka polisi halafu wanarudi mtaani kitu bora ni moto tu..

#RipKumbwigenaMorokoMashine mwananyamala wanawajua hawa wezi..
talking about name calling!!!???? MiAfrica bwana!!!!!
 
Naona mleta mada ameki miss hiko chuo chake,leo ameamua kuwa muwazi,vipi ndugu uliisha kipitia hiko chuo chako kipindi hiki?angalau ukaongea na wanafunzi waliopo sasa,ukawaeleza hizo enzi zenu zilivyokuwa na mlivyokuwa?
 
mi kinachonishangaza ni kuwa inamaana hatujua chakufanya pale tunapopata matatizo zaidi ya kuandamana?
HILI NI TATIZO WATU WANALAWITIWI EETI TUNAFUNGA BARABARA KHAAA!
 
Nimesoma thread moja yenye update inasema ili tukio halikuwa la kijambazi kama inavyosemekana, bali ni wakaazi wa kigamboni wameamua kulipiza kisasi kwa tabia ya wanafunzi hao kuwachukulia wake zao. Pia wamehoji mbona mambo haya hawafanyiwi wonafunzi wa kike?

Tuwe fair kama wanafunzi nao wana mzozo na wananchi wa kigamboni basi wafanye mazungumzo wamalize mzozo huu.
 
hawa jamaa nawaona muda mrefu wanapost usenge mi nawaangalia tu, halafu wanaona ni point point kumbe upuuzi na usenge mtupu, achana nao hawa wapuuzi, analeta story za MTC eti anajisifia... Kumbe anapost pumba tu...
Great thinker or stinker..?
 
kiukweli sie wanafunzi wa ifm tumechoka haya maswala yanayoendelea ifm,polisi hawana msaada wowote kwetu...jana wenzetu wamechapwa na kupigwa mabomu...tumechoka na tumejipanga,akihisiwa mtu ni mwizi atawahadithia wenzake...tukifanya ivo naamn ndio jami ya wale wanaoona tunafanya ujinga wataelewa nin faida ya sisi kuandamana...atauliwa mmoja mmoja hadi kieleweke...TUMECHOKA
 
Ndg umajcfia ulivyokua chuo au unaongelea la ifm,tambua kuna sekondar zenye wanafunz watukutu na wakorofi kuliko mfano Tosamaganga na wapo IFM je utafananisha mazingira ya Iringa na Dar!?
Huo n mfano tu wa tofaut ya kimazngira,ifm walijua wanachokifanya na hawakutaka kupambana na police bali walitaka taarifa ifike kwa jamii na wamefanikiwa,n ujinga kuacha kujadili udhalilishaji waliofanyiwa na badara yake kuwaona wao n wapuuz,vyuon hakufai mengi yanaendelea na ictoshe c.rahc kila mtu kumjue mwenzie tambua wanafinz n wengi sana.
Cha maana n point ya wao kujichunguza nani anawasaliti maaana naamn hapo ifm kuna watu wa kazi.mbalimbali kuanzia police,wanajeshi mpaka watu wa serikarn,.
Hebu tumtafute mdau wa jf ambae yuko ifm atupe taarifa sahh na c cc kutoa ushaur kwa suala tuliloliona kwenye tv.
Yangu n hayo
 
Back
Top Bottom