Wanafunzi wa HGE tuliomaliza a level 2011 Lyamungo nipo Mwanza, tuwasiliane tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa HGE tuliomaliza a level 2011 Lyamungo nipo Mwanza, tuwasiliane tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 16, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Nipo hapa mwanza kwa muda wa wiki moja,mliopo Vyuo vya mwanza naombeni tuwasiliane, ntakua hapa mabatini.Nismsni kwa 0785144285.Ntafurahi sana kuonana nanyi.BRAVO bY SIR .......MY NICK NAME.
   
 2. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Naombeni tuwasiliane ntakua mwanza ndani ya wiki 1.0785144285, mtanipata,tafadhali
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa nini usiwatafute wanafunzi wenzako huko Facebook? Halafu watajua wewe ni nani! Au hata shule ulikuwa unatumia jina hili? Wengine umesoma nao lakini walbkuwa hawakupendi.
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hapa sio facebook, kawatafute huko. Jf imevamiwa
   
 5. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lazima tutofautishe JF na FB, ingekuwa u-membership wa JF unalipiwa au kupost 'thread' unalipia, sidhani kama ungepost huu u....! Hovyo.
   
 6. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  We ndo ovyo na inaonekana ni mgeni jf hapo sio sehemu yakutafutana na hao mashoga zako uctujazie saver hapa alah...shwain kabisa next time utakula ban.
   
 7. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  si kila swala inabidi ubishe au mufananishe na FB.Kama ujumbe huu ahukuhusi yanini kujibu.Ni wale wale wadoweaji.Mnakera kupita kiasi.
   
 8. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Umefikisha thread ya ngapi mkuu? Hongera.
   
 9. R

  Rushdie jr Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  good! nenda saut wapo wa lyaboyz kibao
   
Loading...