Mimi nilidhani labda unawahurumia kwa kuwa wanabakwa, kumbe kutongozwa ambako ni suala la kuafikia au kutoafiki. Waache waendelee maana na hayo ni "mafunzo kwa vitendo"Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu!
Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
Kwenye blue nakubaliana na wewe lengo ni kutafuta hela.Wakike wengine wanaona fahari kutongozwa..,hata hivyo watu wazima hao wanajua wafanyalo.Sasa umekwenda ofisini kukaa tu au kujifunza yaani supervisor akatafute document mahali wakti denti amekaa? sio ustaarabu bana..waache wajifunze..
Nalo neno hilo mkuu......
yaani mimi hapa nachokishuhudia ofisi demu akashabonyezwa na wakurugenzi wa3 halafu siku hiyo wakawa wanahadithiana muda wa lanchi!
Wanapenda sana ofa za lunch sana.Sasa mwzi mzima unapewa ofa ya lunch jion lift unategemea nini baada ya mwezi?Si mtu kuomba mchezo?Wawe wanakata hivyo vitu kama wanaubavu..Wewe njaa mbaya wewe!Lazima wakubali tu kutongozwa
Mmmh!! Haya....Kutongozwa ni shemu ya "mafunzo kwa vitendo"!
Kutongozwa ni shemu ya "mafunzo kwa vitendo"!