Wanafunzi wa field jamani

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu!
Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
 
Wakike wengine wanaona fahari kutongozwa..,hata hivyo watu wazima hao wanajua wafanyalo.Sasa umekwenda ofisini kukaa tu au kujifunza yaani supervisor akatafute document mahali wakti denti amekaa? sio ustaarabu bana..waache wajifunze..
 
Kama hajatulia hajatulia tu, kwani wanalazimishwa, na nyie wababa acheni tamaa, tamaa mbaya.
 
Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu!
Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
Mimi nilidhani labda unawahurumia kwa kuwa wanabakwa, kumbe kutongozwa ambako ni suala la kuafikia au kutoafiki. Waache waendelee maana na hayo ni "mafunzo kwa vitendo"
 
wao wanajirahisi kwa kuamini watapata muongozo
 
Wakike wengine wanaona fahari kutongozwa..,hata hivyo watu wazima hao wanajua wafanyalo.Sasa umekwenda ofisini kukaa tu au kujifunza yaani supervisor akatafute document mahali wakti denti amekaa? sio ustaarabu bana..waache wajifunze..
Kwenye blue nakubaliana na wewe lengo ni kutafuta hela.
Mkuu kwenye red hata vocha kila mtu anakutuma, mafunzo gani hayo?
 
Si ustaarabu hata kidogo kuwageuza matarishi wanafunzi kisa wapo kufanya field. Na hao wa kike jamani hua inakua kama vile wanaombwa rushwa ya ngono kwa jinsi nilivyoelewa mimi. Kiasi kikubwa wanafunzi hawa hukaa kwa wasiwasi na kutojiamini hasa ukizingatia jinsi kupata sehemu ya field kulivokuwa kugumu siku hizi.
 
akili zao zinakuwa tegemezi kwa kutokujua nini haki yao wakiwa field
yaani mimi hapa nachokishuhudia ofisi demu akashabonyezwa na wakurugenzi wa3 halafu siku hiyo wakawa wanahadithiana muda wa lanchi!
 
yaani mimi hapa nachokishuhudia ofisi demu akashabonyezwa na wakurugenzi wa3 halafu siku hiyo wakawa wanahadithiana muda wa lanchi!

wanakumbuka kuvaa mavazi lakini maana mh faster zina matatizo
 
Wanapenda sana ofa za lunch sana.Sasa mwzi mzima unapewa ofa ya lunch jion lift unategemea nini baada ya mwezi?Si mtu kuomba mchezo?Wawe wanakata hivyo vitu kama wanaubavu..Wewe njaa mbaya wewe!Lazima wakubali tu kutongozwa
 
dah kweli yani nawaonea huruma mademu wengine wanatumwa vocha photocopy kununua chakula kutonozwa ndo sana hsa ofic za serikali
 
Wanapenda sana ofa za lunch sana.Sasa mwzi mzima unapewa ofa ya lunch jion lift unategemea nini baada ya mwezi?Si mtu kuomba mchezo?Wawe wanakata hivyo vitu kama wanaubavu..Wewe njaa mbaya wewe!Lazima wakubali tu kutongozwa

wanaendekeza umasikini wa fikra
 
Kutongozwa ni shemu ya "mafunzo kwa vitendo"!

heee baba enock na wewe ni mzazi jamni ikifika zamu ya wanao nao wakafanyiwa hayo utaridhika? hata hivyo kwa mtazamo wangu na uzoefu niliouona kwa wasichana wa field ni kuwa ngono wameweka kama sehemu ya njia ya mkato ya kufikia malengo yao hivyo wengi hujirahisi wakitegemea kupata vitu mbalimbali kama pesa, chakula, lift na wengine kuahidiwa kazi wakimaliza cho ndio vinawafanya wawe wepesi kushusha vyupi! ila kwa wavulana walio wengi wanatia huruma, muda mwingi wanasumbuliwa na kutumwa kama messengers hata muda wa kujifunza hawapati.
 
Back
Top Bottom