Mimi ni wa mfano, pamoja na mwaka huu kupata wengi ilimradi uwe uliomba, lakini nadhani Diploma bado ni kikwazo. Niliamua kukomaa mwenyewe baada ya kusikia kuwa ukiwa na Diploma HESLB wanaamini wewe unayo pesa ya kujisomesha
Vile vilewanafunzi wengi wanaoingia degree miaka ya hiv karibuni wengi sio in-take hivyo hawana mishahara ya kujisomesha,sasa je are loans rights or privelege?
Tunaomba kila muathirika wa hili awe mjumbe ikiwezekana lifike kwa mamlaka husika ikiwezekana kwa honorable President Magufuli kwani wapo wanafunz wengi wanavipaji na taaluma bora kuliko wanaotoka fom six hvyo wengi wanashindwa kujiendeleza na jamii inapoteza vipaji na wanataaluma wazur kwa sababu hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.