sir mushi
Senior Member
- May 26, 2013
- 143
- 52
minaona wakati mwingine mtu unafanya maisha yakawa magumu mwenyewe, mtu unachagua education sua, ukija huku kwa semista unasoma cozi tisa natena nyingine hazina mahusisno kabisa na ualimu, baada ya semista, maumivu ya kichwa yanaanza kutotimiza credt hours, si bora ungekwenda udom!??? kwanza C inaanza 35 na ukicheki ualimu mishahara yao ni sawa na mnahajiriwa wote serikalili, kwann ufanye maisha yakawa magumu wakati kuna alternative????