nimeona clip status huko wanaimba “tunatakaaa laki taaano”waliamshee waliamshe
Jana mbona ujatuma
Hali mbaya
kweli mkuu wanafunzi wengi wameweka akili pembeni, ukionekana cdm au act unashambuliwa sawaYaan wanachuo wenyewe hao hao unawakuta wamejazana UVCCM
Tena inatakiwa wapigwe mabomu ili wakome.Yaan wanachuo wenyewe hao hao unawakuta wamejazana UVCCM