Wanafunzi wa Chuo cha Sheria IJA-Lushoto hatihati kuahirisha mwaka wa masomo kwa kukosa ada

Alevet

Senior Member
Jan 4, 2014
108
225
Malalamiko yanawakumba asilimia 80 ya wanafunzi wengi wao watoto Wa masikini, kwani ada (2nd installment) hutakiwa kulipwa January ya kila mwaka kabla ya mitihani ya mwisho (semester exams).

Jana ghafla wamepewa tangazo la notisi ya wiki moja kabla ya mid term exams inayoanza 02/12/2021.

IMG-20211124-WA0000.jpg
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,920
2,000
Aisee kila mtanzanzania atambue tuko kwenye ulimwengu wa kibepari, haya mambo ya kulia lia kama mbweha mara masikini, wanyonge, mara watoto wa masikini ni nje ya mfumo huu.

Ni ama uamue kupambana uishi au utulie ukiwa unajipeti peti kwamba ni mnyonge /masikini ufe
 
CAGvsSPEAKER

JF-Expert Member
May 16, 2019
1,284
2,000
Aisee kila mtanzanzania atambue tuko kwenye ulimwengu wa kibepari, haya mambo ya kulia lia kama mbweha mara masikini, wanyonge, mara watoto wa masikini ni nje ya mfumo huu.

Ni ama uamue kupambana uishi au utulie ukiwa unajipeti peti kwamba ni mnyonge /masikini ufe
Mkuu nimeichukua hii. Niruhusu niiweke status kwa manufaa ya wengi. Please.
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,302
2,000
Aisee kila mtanzanzania atambue tuko kwenye ulimwengu wa kibepari, haya mambo ya kulia lia kama mbweha mara masikini, wanyonge, mara watoto wa masikini ni nje ya mfumo huu.

Ni ama uamue kupambana uishi au utulie ukiwa unajipeti peti kwamba ni mnyonge /masikini ufe

Agiza pepsi ya baridi
Watu wanalia lia wanadhani umaskini ni sifa, tupambane kulia lia mara wanyonge sjui maskini ni upumbavu mtupu
 
kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,918
2,000
Aisee kila mtanzanzania atambue tuko kwenye ulimwengu wa kibepari, haya mambo ya kulia lia kama mbweha mara masikini, wanyonge, mara watoto wa masikini ni nje ya mfumo huu.

Ni ama uamue kupambana uishi au utulie ukiwa unajipeti peti kwamba ni mnyonge /masikini ufe
Nyerere aliwadekeza sana Watanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom