wanafunzi vyuo kikuu waombwa kuungana kudai mikopo ya mitaji wamalizapo masomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi vyuo kikuu waombwa kuungana kudai mikopo ya mitaji wamalizapo masomo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by josewatano, Oct 11, 2012.

 1. j

  josewatano Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  tetezi za chini ya kapet zinasema kutokana na ajira kuwa kikwazo na kuendelea kuongezeka kwa wahitimu wa elimu ya juu mitaani na taluma zao na kutaka jiajiri ila hawana mitaji pia kila siku serikali pitia watendaji wake imekuwa ikiwataka wahitimu hawa wajiajiri basi wanachuo kikuu wanataka iambia serikali kwakuwa ili waanini ikawapa mikopo mda wa masomo basi waanze toa na mkopo japo milion saba kama mtaji aendapo mtaani
   
Loading...