Wanafunzi VIZIWI wapeana mimba

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wanafunzi wa shule ya msingi ya viziwi ya Kigwe wamejikuta wakipeana ujauzito baada ya kunogeshana mahaba na mashamsham, wanafunzi hao ambao wanasoma shule hiyo iliyopo wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, wakiume ana umri wa miaka 14 na wa kike ana umri wa miaka 13:
sosi:habari leo
 
Shida yake ni kwamba THEY ARE FU.CKI.NG YOUNG!!!!!!!!!!! Damn! 14 &13 people! Haloooooooooooo! Thats UNACCEPTABLE for crying out loud!!!!!!!!!
 
Ahh poa2 wache watiane mimba wenyewe kwa wenyewe ungekua mwezangu na mm unge ambiwa ume vunja haki za binaadam
 
Hawa watoto viziwa sijui waliongeaje mpaka wakakubaliana na pia umri walio nao unaonekana ni mdogo sana! Na vipi kuhusu nidhamu na maadili ndani ya shule? Kuna ufuatiliaji wa kutosha? Au tu ndo tuishie kushangaa na kulaumu hao watoto?
 
shida yako ni nin hasa:
1. Kwamba ni viziwi?
2. Kwamba wanatokea Dodoma?
3. Kwamba wana umri umri wa miaka 13 & 14?
4. Kwamba wamepeana ujauzito?

Nini hasa?
mimi sina shida,
ila umri wao ni mdogo sana,
 
Hawa watoto viziwa sijui waliongeaje mpaka wakakubaliana na pia umri walio nao unaonekana ni mdogo sana! Na vipi kuhusu nidhamu na maadili ndani ya shule? Kuna ufuatiliaji wa kutosha? Au tu ndo tuishie kushangaa na kulaumu hao watoto?

nahisu hiyo shule si ya boarding,lakini si unaelewa kuwa kuna mgomo wa walimu wa kimyakimya?
 
Hao madogo sijui walichoreana picha...
Kwanza kiumri ni wadogo sana, pili wana ulemavu wa kusikia dahh!!!
 
Wanafunndishwa lugha ya alama shuleni; kama wanasoma shule maalum watakua waliongea kwa lugha ya alama na kuelewana. Lakini ni wadogo sana; na vitoto vya siku hizi vinabalehe mapema!
 
hapa cha kujadili ni uanafunzi wao na mimba wanazopeana tu huo ukiziwi unajadiliwa ni kama tunawanyanyapaa.
 
Ngono ni hisia haina cha uremavu.chakusikitisha ni umri mdogo sana jambo ambalo ni mzigo

Exactly Mr President.. Mazingira yaliowazunguka hawa watoto ni tofauti kabisa na wa kawaida.. Uwezo wa kupata ushauri kwao uko limited ukichukulia maanani ni shuleni tu ambako anaweza ku-communicate vizuri.. Nyumbani na mtaani hawapati ushauri unaotakiwa kwa kuwa wako impaired na jamii haisumbuki..
 
Mtoa mada katika kichwa cha habari hii umeandika maneno yote kwa herufi ndogo isipokuwa VIZIWI, ukionyesha kuwa hapo ndipo penye mkazo wa hoja yako

Ni kuwa unaona habari kubwa ni kwamba hao watoto ni viziwi na sio kuwa wamefanya hayo wakiwa bado wadogo sana

Hii ni aina moja wapo ya kuwanyanyapaa wenye ulemavu
 
Bamwanasha uzuzu ni kupindisha sheria na taratibu za uandishi. Sentensi au neno lolote linalokuwa limekolezwa, kupigiwa mstari au kuandikwa kwa HERUFI KUBWA -- ina maana unataka lionekane zaidi na ndilo linalobeba maana/ujumbe zaidi kuliko mengineyo yaliyomo kwenye sentensi/paragrafu/anuani hiyo.

Sasa kama ulikuwa na nia ya kushangaa umri wa hawa vijana, kwanini uandike kichwa cha habari chenye neno VIZIWI likiwa katika herufi kubwa?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom