Wanafunzi udsm mabibo hostel wasomea kwenye taa za barabarani mandela road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi udsm mabibo hostel wasomea kwenye taa za barabarani mandela road

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wijei, Jul 13, 2011.

 1. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wakati wanafunzi wa udsm wakiendelea na mitihani yao,jana usiku wamezua mpya baada ya umeme kukatika.baadhi ya wanafunzi waliamua kubeba desa zao na kwenda kwenye taa za barabani kupiga shule ili kujiandaa na mitihani ya leo.source{ my eyes}
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Sa ulitaka 2fanyaje?
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,996
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Mwandamane kudai umeme
   
 4. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  you are not serious!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Ulevi ni kitu kibaya sana! Bila shaka ulikuwa umevaa miwani
   
 6. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwahiyo? hii nayo ni habari muhimu kwa mtazamo wako eti? kuwa makini dogo!!
   
 7. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unafanya mchezo na disco nin...? Taa za barabarani lazima zihusu mazee! Teh teh teh, wakifkiria kuna ishu kama hiyo,wapo tyr hata kusomea vibatari!
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  huyu alikosa k2 cha kupost ndo akaamua kukurupuka 2,sa hata 2kipgia msuli barabaran ye inamhusu nin kama sio umbea!
   
 9. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,068
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Someni acheni kuzima moto.mlidhani mlikwenda UDSM kuuza sura?na bado mtasomda hadi kwenye mataa ubungo!
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  nahisi senetor umekosa kitu cha kupost ni uview basi..
   
 11. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umeme ukikatika taa za barabarani zitawakaje?
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,923
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  he is.
   
 13. sizya007

  sizya007 JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2014
  Joined: Sep 9, 2013
  Messages: 418
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  kajifunze kuandika vizuri lugha yako ya taifa, baada ya hilo urudi kupost.....''''MTASOMDA'''' WTF
   
Loading...