Wanafunzi udom wapanga mazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi udom wapanga mazito

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LWAKAPISI, Mar 31, 2011.

 1. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kinachoonekana ni kujitetea wanafunzi wa UDOM kitivo cha elimu wa mwaka wa 1&2 wameapa kutofanya mitihani yao ya mwisho wa muhula mnamo mwezi july kama hela za field zitakuwa hazijawekwa kwenye akaunti zao.Wakiongea kwa hisia kali wamesema vyuo vingine km UDSM, SAUT, SJUT etc hela hizo uingia wkiwa vyuoni ila ni udom tu ambapo mambo tofauti.Wamesema hayo ni hujuma za uongozi wa chuo na viongozi wa UDOSO kuwa mazuzu.Wakiwa mitaa ya block Q wanafunzi wachache hao wamedai mkakati huo upo na safari hii lazima kieleweke.Licha ya hao mimi km mdau wa udom(coed)nimeshaona dalili za wazi kabisa za wanachuo hawa kufanya vile.Hii ni kutokana na chuo hiki kuongozwa kisiasa sana,MFANO wakati mkuu wa chuo hiki pro:KIKULA anamaliza mgomo wa COED tarehe18.1.2011 alisema ndani ya wiki2 wangeongeza vitabu,ambulance,matanki ya maji ila hadi leo hakuna kilichoongezwa.:drum:
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  mchuma janga hula na wakwao--wahenga
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  ulikuwa unawahoji au?
   
Loading...