Wanafunzi tutakosa vyuo kizembe

james marco

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
208
167
Nashangaa kwanini TCU haikufanya research kwa ajiri ya hii system. *TCU ilitakiwa kushirikisha wadau wa elimu kwanza ili kusudi tuone kama hiii system haita athiri upande wowote sasa hivi vyuo vinafunguliwa tar 30 lakini bado kuna vijana hawajui wanaenda chuo gani wala hawajapta muda wa maandalizi.

Sasa tunajiuliza hiii serikali ipo kwa ajiri ya wananchi wake au vipi kama serikali iliamua kufanya hivi kwanini isingeweka kwamba mwanafunzi a confirm kupitia TCU sababu hivi vyuo vingine vinafanya business so lazima vitawalazimisha tuu wanafunzi ku confirm *
 
Nashangaa kwann tcu haikufanya research kwa ajiri ya hii system. *Tcu ilitakiwa kushirikisha wadau wa elimu kwanza ili kusudi tuone kama hiii system haita athiri upande wowote sasa hivi vyuo vinafunguliwa tar 30 lakin bado kuna vijana hawajui wanaenda chuo gani wala hawajapta muda wa maandalizi sasa tunajiuliza hiii serikali ipo kwa ajiri ya wananchi wake au vipi.kama serikali iliamua kufanya hivi kwa nn isingeweka kwamba mwanafunzi a confirm kupitia tcu sababu hivi vyuo vingine vinafanya business so lazima vitawalazimisha tuu wanafunzi ku confirm *
Hayatuhusu...pambana na hali yako!
 
Usiilaumu TCU, mlaumu aliyepiga marufuku TCU kudahilia vyuo
 
Daaah yaaani yule jamaa aliongea jukwaani tu ila hawa tcu walikiwa kuangalia ki undani zaidi na kiutendaji sio kufuafa mkumbo
ndo mjue tunahitaji ukombozi kama taifa na si kikundi cha watu wachache, ukiona mwenzio analia jua nawe siku yako yaja... Poleni
 
Back
Top Bottom