General mex
Senior Member
- May 1, 2011
- 158
- 185
Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.
Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.
Kama serikali inaweza kutoa msaada kwa nchi zinazopata maafa kama vile Somalia, halafu watanzania wenyewe wanaumia kwa kukosa mikopo ili wajiendeleze na masomo, huu ni upuuzi. Bora ningezaliwa nguruwe huko ulaya. Wa**** sana.

Hata usiporipoti chuoni, still mwaka kesho watasema wametoa kipaumbele kwa waliomaliza 4m 6, mwaka huu wamesema hvyo, ila nashangaa nimemaliza 6 bado nimekosa. Hivi kweli tunawafundisha nini wadogo ze2! Eti m2 ana division 1 ya point 3 kanyimwa mkopo, halafu mwenye division 3 ya mwisho tena kaenda kusoma human resource management sio hiyo sayansi wanayodai kipaumbele Kapewa milioni 4. Basi hamna haja ya kufaulu maana bado mkopo unaweza kosa 2!

uchumi wa nchi umeyumba wanatakiwa wachumi wengi, huo ndo utetezi. Chamsingi hapa watupatie mkopo hayo mengine watuachie wenyewe, kwenda kusoma fani gani hayawahusu kama wanaweza wazifute fani zote wabakize za vipaumbele kama hazina umuhimu kwa Taifa lasivyo huo wa m/funzi anakwenda kusoma fani gani ni Ubaguzi ambao hatuutaki!

Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.

Wizara inahusika na bajeti ya elimu ambapo ndio fungu la mikopo linapotokea. Bodi wanadai kua walipewa hela kidogo! Kwa hyo tunasubiri tamko la waziri wa elimu, bodi imekiri kua kuna mapungufu mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji mikopo. 2nawasilikilizia sasa wataamuaje. Wamedai kikao jumamosi.