Wanafunzi tuliokosa mikopo baadhi tupo hapa wizara ya Elimu.

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.

Hadi pale serikali itakapotenga fungu la kutosha kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, tena wote bila ubaguzi;

Hadi pale bodi ya mikopo itakapoamka toka usingizini na kukusanya pesa toka kwa wanufaika wote bila kubagua;

Hadi pale bodi ya mikopo itakapoweza kuwa na uwezo wa kufanya "means test" ya ukweli;

Ndipo hizi danadana za wanafunzi kuzunguka toka vyuoni-bodi ya mikopo-wizara ya elimu zitakapokwisha.

Vinginevyo nawasikitikia sana wanafunzi wanaotoka familia masikini, elimu ya juu kwao itakuwa ni mapambano miaka nenda rudi.

Nadhani kupitia forum kama hii, tuhamasishe wote waliokosa mikopo wasiende vyuoni; halafu tuone reaction ya vyuo. Nina uhakika waathirika wa kwanza watakuwa ni vyuo vinavyotoa elimu ya sayansi za afya.
Hakika wanafunzi msidanganyike eti unaweza kuripoti na ku-appeal. Kwanza hakuna chuo kitakupokea bila malipo ya awali, pili je kama usipopatata mkopo!

Kama serikali inaweza kutoa msaada kwa nchi zinazopata maafa kama vile Somalia, halafu watanzania wenyewe wanaumia kwa kukosa mikopo ili wajiendeleze na masomo, huu ni upuuzi. Bora ningezaliwa nguruwe huko ulaya. Wa**** sana.

Kwa wale waliokua wanawaza maana ya No loan kwamba na accomodation utalipiwa ama hautalipiwa ni kwamba, bodi wamejibu kwamba, "NO LOAN MEANS NO LOAN" kwa hyo hupewi hata mia. Na kuapply 2 2me2mia zaidi ya elfu 50. Ku***** zao.

Kuna watu wamepewa milioni tano! Ina maana wanasomea Uk ama! Si wange2mia busara hicho kidogo angalau wote wawe na Malazi na chakula. Kwa mpango huu watakaoenda chuo bila mkopo, haswa mademu! Watajiuza hata kupata ndizi rost ili waishi.

hapa naona raha wa tz tunapopata hasira, naomba tusirudi nyuma, muhimu tukaonyesha tumenung'unika na hii ni kufika katika ofisi husika na kugomea uamuzi. tz crappppp

Kama serikali inaweza kutoa msaada kwa nchi zinazopata maafa kama vile Somalia, halafu watanzania wenyewe wanaumia kwa kukosa mikopo ili wajiendeleze na masomo, huu ni upuuzi. Bora ningezaliwa nguruwe huko ulaya. Wa**** sana.

Punguza hasira wewe!!!!
Suala ni kufanya mgomo tu wa kuripoti vyuoni..

Hata usiporipoti chuoni, still mwaka kesho watasema wametoa kipaumbele kwa waliomaliza 4m 6, mwaka huu wamesema hvyo, ila nashangaa nimemaliza 6 bado nimekosa. Hivi kweli tunawafundisha nini wadogo ze2! Eti m2 ana division 1 ya point 3 kanyimwa mkopo, halafu mwenye division 3 ya mwisho tena kaenda kusoma human resource management sio hiyo sayansi wanayodai kipaumbele Kapewa milioni 4. Basi hamna haja ya kufaulu maana bado mkopo unaweza kosa 2!

uchumi wa nchi umeyumba wanatakiwa wachumi wengi, huo ndo utetezi. Chamsingi hapa watupatie mkopo hayo mengine watuachie wenyewe, kwenda kusoma fani gani hayawahusu kama wanaweza wazifute fani zote wabakize za vipaumbele kama hazina umuhimu kwa Taifa lasivyo huo wa m/funzi anakwenda kusoma fani gani ni Ubaguzi ambao hatuutaki!

Sure!

Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.

wizarani wanahusika vipi na mikopo?.

Hiv ninyi bodi mnasubili nini kutoa hayo majina second applicants ili ijulikane maana hata mimi sijaona jina katika kundi lolote na nimetumia pesamingi sana kuaplai vyuo

Wizara inahusika na bajeti ya elimu ambapo ndio fungu la mikopo linapotokea. Bodi wanadai kua walipewa hela kidogo! Kwa hyo tunasubiri tamko la waziri wa elimu, bodi imekiri kua kuna mapungufu mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji mikopo. 2nawasilikilizia sasa wataamuaje. Wamedai kikao jumamosi.

Nimefarijika kwa jitihada zilizofanyika za kudai haki yetu ya msingi ya kukopeshwa mkopo!

Kama wanaume alisi..
Thanx brothers msiache ku2juza wa mikoani so hai2gusi u knw hasira hadi mwisho unacheka+machoz ndo kinachoendelea.
Wizara inahusika na bajeti ya elimu ambapo ndio fungu la mikopo linapotokea. Bodi wanadai kua walipewa hela kidogo! Kwa hyo tunasubiri tamko la waziri wa elimu, bodi imekiri kua kuna mapungufu mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji mikopo. 2nawasilikilizia sasa wataamuaje. Wamedai kikao jumamosi.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom