Wanafunzi kidato cha nne wafukuzwa shule hadi siku ya mtihani

Aloy Son

Member
Nov 27, 2011
7
0
Ni katika shule moja ya kata inayofahamika kwa jina la kifanya Sekondari mkoani Njombe wamefukuzwa bila sababu za msingi..... je nini kifanyike ikiwa ni idadi ya zaidi ya wanafunzi zaidi ya kumi... kwa upande wangu sidhani kama ni adhabu stahiki kwa wanafunzi hao ikiwa yasemekana kosa lao ni kukutwa nje ya madarasa wakati wa vipindi.

HII NI HATARI SANA IKIWA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA ELIMU TANASHUKA SI TU KWA UKOSEFU WA VITU MUHIMU ILA TATIZO SASA NI KWA WAKUU WA SHULE. HII NI HATARI KWA TAIFA..
 
Habari za "yasemekana" muwemnabaki nazo huko huko kwenye vungu za vitanda vyenu walau mpate kujadili na familia zenu. Kuliko kuleta uzi ambao haujakamiliaka au haujitoshelezi na haunauakika.
 
Mleta uzi habari yako haijakamilika kabisa,hebu elezea kwa kina ili watu wapate cha kuchangia.Acha mambo ya kitoto!
 
Ni katika shule moja ya kata inayofahamika kwa jina la kifanya Sekondari mkoani Njombe wamefukuzwa bila sababu za msingi..... je nini kifanyike ikiwa ni idadi ya zaidi ya wanafunzi zaidi ya kumi... kwa upande wangu sidhani kama ni adhabu stahiki kwa wanafunzi hao ikiwa yasemekana kosa lao ni kukutwa nje ya madarasa wakati wa vipindi.

HII NI HATARI SANA IKIWA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA ELIMU TANASHUKA SI TU KWA UKOSEFU WA VITU MUHIMU ILA TATIZO SASA NI KWA WAKUU WA SHULE. HII NI HATARI KWA TAIFA..

Yaani hata kama mitoto yenyewe ni minunda iliyoshindikana haielewi na tayari certified walking division zero,Bodi ya shule isiwachukulie hatua?. Nani anashusha kiwango cha Elimu kati ya hao?
 
Hivi mods habari kama hizi hazijafikia kwenye kiwango cha kufutwa mpaka wanakuaga wepesi kufuta za Ritz 1 na uuzaji wa "unga" nchini china.?
 
Ni katika shule moja ya kata inayofahamika kwa jina la kifanya Sekondari mkoani Njombe wamefukuzwa bila sababu za msingi..... je nini kifanyike ikiwa ni idadi ya zaidi ya wanafunzi zaidi ya kumi... kwa upande wangu sidhani kama ni adhabu stahiki kwa wanafunzi hao ikiwa yasemekana kosa lao ni kukutwa nje ya madarasa wakati wa vipindi.

HII NI HATARI SANA IKIWA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA ELIMU TANASHUKA SI TU KWA UKOSEFU WA VITU MUHIMU ILA TATIZO SASA NI KWA WAKUU WA SHULE. HII NI HATARI KWA TAIFA..

to 7bu,cyo za msingi ni zpi?
 
toa sababu hzo zisizoza msingi,
hayo mambo yapo sanasana tu yalishatakaga kunikuta na nkapanga kwenda kuitafta haki mahakamani bt nlikua na strong reaso6 sasa hao co wawe wamemchungulia teacher maana watoto wa sikuizi wanatafuna bang badala ya kuvuta.
 
Back
Top Bottom