Hiyo ndiyo middle income country, hata critical thinking - sifuri! Sasa unachoma moto Shule ambayo inakusaidia wewe na watu wako kisa umekatazwa kumuangalia Mzungu kwenye TV, hiyo ni akili au matope?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.