Mbezi, Dar: Wanafunzi Mbezi Primary School hawana madawati

Shaniqwa

Member
May 22, 2020
52
103
Inasikitisha sana hadi sasa hivi hapa mjini Dar es Salaam kuna wanafunzi wa shule za msingi bado wanakaa chini hapa hapa mjini.
Ni aibu sana kusikia kwamba shule ya msingi Mbezi Luis wanafunzi hawana madawati.

Disclaimer: Picha sio ya shule iliyopo mjini

IMG_20200924_162129_106.jpg
 
Inasikitisha sana hadi sasa hivi hapa mjini Dar es Salaam kuna wanafunzi wa shule za msingi bado wanakaa chini hapa hapa mjini.
Ni aibu sana kusikia kwamba shule ya msingi Mbezi Luis wanafunzi hawana madawati.

Disclaimer: Picha sio ya shule iliyopo mjini

View attachment 1579456
Hiyo shule iko chini ya serikali ya ccm inayojinadi imenunua mandege,sgr,kujenga meli etc
 
Inasikitisha sana hadi sasa hivi hapa mjini Dar es Salaam kuna wanafunzi wa shule za msingi bado wanakaa chini hapa hapa mjini.
Ni aibu sana kusikia kwamba shule ya msingi Mbezi Luis wanafunzi hawana madawati.

Disclaimer: Picha sio ya shule iliyopo mjini

View attachment 1579456
Mbona kuna shule zina madawati huwa hamsemi? Hakuna taifa hapa duniani lililowahi kutatua changamoto za wananchi wake kwa mara moja (overnight)

Taratibu tutafika.
 
Unetumwa na nani kupotosha jamii

Usiwe na mambo ya kishoga kama polepole.

Serikali imethubutu, imeweza na inasonga mbele
 
Wacha kuruka ruka kama popcorn na kuita majina bila uhakika,,,,unadhani nimeota nikaandika? Haya wewe usie muongo unajua wanafunzi wanakaa chini?

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app

Ninafahamu ninachokiandika. Shule ya Msingi Mbezi Lous haina uhaba wa nadawati na hakuna mwanafunzi anayekaa chini. Acha kutafuta cheap popularity
 
Mbona kuna shule zina madawati huwa hamsemi? Hakuna taifa hapa duniani lililowahi kutatua changamoto za wananchi wake kwa mara moja (overnight)

Taratibu tutafika.
Ficha ujinga kijana.

Miaka 60 baada ya uhuru unaongea ujinga kama huu?

Singapore au Korea Kusini zina miaka sawa na sisi, nenda katafute kama kuna nyumba ya udongo au wananchi wanakunywa maji yenye matope.
 
Ninafahamu ninachokiandika. Shule ya Msingi Mbezi Lous haina uhaba wa nadawati na hakuna mwanafunzi anayekaa chini. Acha kutafuta cheap popularity
Muongo Huyo hakuna mbezi shule ya msingi yenye jengo kama hill hiyo picha kaiokota mitandaoni akaitupia hapo

Mleta mada mpuuzi
 
Ninafahamu ninachokiandika. Shule ya Msingi Mbezi Lous haina uhaba wa nadawati na hakuna mwanafunzi anayekaa chini. Acha kutafuta cheap popularity
Anaesema anafahamu hata idea ya kinachoendelea hana,endelea kubishana na ukuta sibishani na mazombie kama wewe
 
Inasikitisha sana hadi sasa hivi hapa mjini Dar es Salaam kuna wanafunzi wa shule za msingi bado wanakaa chini hapa hapa mjini.
Ni aibu sana kusikia kwamba shule ya msingi Mbezi Luis wanafunzi hawana madawati.

Disclaimer: Picha sio ya shule iliyopo mjini

View attachment 1579456
Kama waliokaa hapo sio wanafunzi WA mbezi basi mleta mada ni mchochezi. Mambo Hivyo mambosasa kamati huyu
 
Back
Top Bottom