Wanafunzi gani walikuwa wamepinda shuleni kwenu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Tushare experience za watu ambao ulisoma nao mashuleni na walikua gumzo sana hasa tupe tabia zao je ni wizi, uvutaji bangi n.k binafsi namkumbuka jamaa alikua anaitwa peter alikuwa ni tyson wa shule yani humwambi kitu akivuta mabangi yake wewe je
 
Hahaha! Unankumbusha bal mm namkumbuka m'funz 1 yy alkua baunsa alkua mbabe na m2 wa bang 2lkua 2namuogopa ogopa cku 1 almkamata mwenze2 1 akampga kwa mikwaju km mwanawe anomfundsha adabu tena bila kurudshiwa. Hahaha
 
Tushare experience za watu ambao ulisoma nao mashuleni na walikua gumzo sana hasa tupe tabia zao je ni wizi, uvutaji bangi n.k binafsi namkumbuka jamaa alikua anaitwa peter alikuwa ni tyson wa shule yani humwambi kitu akivuta mabangi yake wewe je

umekosa kaz ya kufanya,hebu vyuo vifunguliwe muende
 
mbona thread nzuri tu, kuponda kwa nn sasa... ! anyway mi namkumbuka jamaa mmoja pale kibiti boyz toka 2005-2007 aliitwa dunga, akinywa ulanzi wake huko kijijini anakuja bed kwako kukulilia kama umekufa.
 
watanzania hatuendelei kwasababu huwa tunapenda kujikumbushia mda mdogo wa furaha tulioupitia badala kufikiria vitu current ambavyo vinauzunisha na vitaendelea kuuzunisha kama soko la ajira,mfumuko wa bei,ubinafsishaji to foreigners n.k
kumbukeni jamani 'TIME IS NOT A CIRCLE'
 
Tushare experience za watu ambao ulisoma nao mashuleni na walikua gumzo sana hasa tupe tabia zao je ni wizi, uvutaji bangi n.k binafsi namkumbuka jamaa alikua anaitwa peter alikuwa ni tyson wa shule yani humwambi kitu akivuta mabangi yake wewe je
kwa kweli katika mambo uliyoyafanya humu jf ambayo si mazuri hili ni moja wapo!! unathubutu kuandika uchafu kama huu humu!!! kweli hili jukwaa limevamiwa.....sasa ukishawakumbuka afu iweje???? alikua tyson mara akavuta bangi afu iweje??? angalia mambo ya mwimu haya hayana umuhimu tena kwako kwa mda huu kijana!!! tumia akili yako kufikiria na sio matumizi mengine!!!
 
mbona thread nzuri tu, kuponda kwa nn sasa... ! anyway mi namkumbuka jamaa mmoja pale kibiti boyz toka 2005-2007 aliitwa dunga, akinywa ulanzi wake huko kijijini anakuja bed kwako kukulilia kama umekufa.

mliosoma mmefaudu
 
Sasa ndugu, kama na ww wakati ukiwa shule ulikuwa umepinda kama mimi; mbona haina haja ya kutoa povu? Jielezee tu, tucheke tusahau shida zetu.
kwa kweli katika mambo uliyoyafanya humu jf ambayo si mazuri hili ni moja wapo!! unathubutu kuandika uchafu kama huu humu!!! kweli hili jukwaa limevamiwa.....sasa ukishawakumbuka afu iweje???? alikua tyson mara akavuta bangi afu iweje??? angalia mambo ya mwimu haya hayana umuhimu tena kwako kwa mda huu kijana!!! tumia akili yako kufikiria na sio matumizi mengine!!!
 
Tushare experience za watu ambao ulisoma nao mashuleni na walikua gumzo sana hasa tupe tabia zao je ni wizi, uvutaji bangi n.k binafsi namkumbuka jamaa alikua anaitwa peter alikuwa ni tyson wa shule yani humwambi kitu akivuta mabangi yake wewe je

thread yako haina adv zozote kwa jamii ya watz coz 2nategemea kila topic humu iwe na adv kwa kumufungua akili m2 pale alipokuwa ni ignorant so kuanza kutaja majina ya mabaunsa then what? Kumbuka hili ni jukwaa la elimu na unatakiwa kuweka relevant topic siyo udaku.
 
mbona thread nzuri tu, kuponda kwa nn sasa... ! anyway mi namkumbuka jamaa mmoja pale kibiti boyz toka 2005-2007 aliitwa dunga, akinywa ulanzi wake huko kijijini anakuja bed kwako kukulilia kama umekufa.

hahahahahahah
 
Miaka ya 90,Ruvu Sekondari ilikuwa na 'Wehu Kumi' na miaka ya 2002-2004,Songea Boys ilikuwa na 'Master P.u.m.b.u'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom