WANAFUNZI bunda WAMPA SALAMU YA VIDOLE 2 alama V mama salma kikwete

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
katika kudhihirisha kuwa watanzania sasa wanataka mabadiliko ya kweli,wanafunzi wa bunda wamemjibu salamu yake mama salma kikwete kwa alama ya V.Ikabidi amuulize mkuu wa wilaya kulikoni au wanafundishwa na walimu wao?
 
Good! Huyu mama amesahau kwamba kule Tunduma ilibidi apite njia tofauti kukwepa alama za V?
 
Safi saana, halafu huyu mama anashangaa nini? mmewe kafanya nini cha kuwapendeza wa Tanganyika? yeye ni nani mpaka awaulize walimu eti ndo mnavyowafundisha watoto? nchi hii bana hakuna mipaka ya madaraka? yeye walimu na ufundishaji wao unamhusu nini? yeye si waziri wa elimu au mkaguzi kilichompeleka pale angekifanya akaondoka si kudhaliluisha walimu. BIG up sana Kanda ya ziwa!!
 
ATAULA WA CHUYA KWA UVIVU WA KUCHAMBUA.Nampa pole sana yetu hadi watoto wanamkana mama hii ni hatari.
 
Na bado, anafikiri hao watoto hawajui ugumu wa maisha uliosababishwa na serikali dhalimu ya mumewe???yeye ni mmoja wa watu wanaotafuna pesa za walipa kodi wa nchi hii kipuuzi kabisa, kutwa kiguu na njia, aende zake hukooo kwa chingaz wenzake.
 
Back
Top Bottom