R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM ; ambao walikuwa wanasomea mafunzo ya Master 's 50% wengi wao ni wafanyakazi wa serikali. Asilimia kubwa ni Walimu. wamekatiza masomo yao DK za mwisho wakati wa kupresent research; Wengi wao wamelejea vituoni bila ya kumaliza Master.
Sababu kuu; Ni zoezi la Serikali chini ya Mawaziri wa JPM ; Prof Ndalichako na Mhe Kahiruki.
WALIANZISHA ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA ; Wengi wa watumishi waliokuwa mafunzoni katika kada mbalimbali walilipotiwa kama watumishi hewa kwa Chuki na ugomvi na wakuu wao ; ni asilimia chache ambao wamefanikiwa kurejeshwa kwenye Payroll baada ya kuondoshwa, wengi wao wakiwa wanasoteshwa bila ya mishahara.
Zoezi hili liliendeshwa pia kwa watu physically kurudi vituoni ili kuhakikiwa ingawa walihakikiwa wengine waliondolewa na kurepotiwa kama watumishi hewa.
wafanyakazi hao wa serikali wakiwa vituoni; zoezi la UHAKIKI WA VYETI ; LIMECHUKUA MUDA MREFU
Baada ya report ya Uhakiki wafanyakazi wengi wamerejea chuo kikuuu cha DAR ES SALAAM kuwakilisha Tafiti ; Matokeo yake wafanyakazi wote wa serikali waliokuwa wanafunzi wa master toka Mikoani wamekuta kwa mshangao wamefutiwa usajili;
Wame takiwa kama wanataka kujisajilisha upya walipe kati ya milioni 1.5- 5 milioni iliwaweze kuwakilisha Tafiti zao ; zikidaiwa ni Extentional fees penality; kUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA WENGI WAO WAMEISHIA NJIANI KUELEKEA NCHI YA AHADI.
SABABU KUU NI KUWA KUSOMA TU; WAMEKOPA LPF NA BENKI NA MIFUKO YA JAMII KIASI CHA MILIONI 5- MILIONI 7; KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO; UKI CALCULATE NA INTEREST
MILIONI 5 - MAREJESHO NI 9 MILIONI - BAADA YA MIAKA MITANO
MILIONI 7 - MAREJESHO NI MILIONI 12. BAADA YA MIAKA MITANO;
UKIWAAMBIA WATOP UP KWENYE MIKOPO WAOGA, INTEREST ITAKUWA KUBWA.
Ushauri chuo kikuu kiwaruhusu wanafunzi wote walio kuwa kuwenye hakiki mbali mbali bila kuwa charge extension fee; lengo si kukomoana.
mImi
MPITA NJIA