Wanafunzi 40 waliosimamishwa masomo waanza kujohiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi 40 waliosimamishwa masomo waanza kujohiwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Andrew Nyerere, Jan 17, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Wale wanachuo wanaanza kuhojiwa mmoja mmoja to determine what should be done with them. Mi najiuliza,Can you get someone to testify against them?

  Hata yule mwanafuni aliyesema kwamba aliwaona wanafanya fujo,ukimpeleka atoe ushahidi, when push comes to shove, akielewa kwamba ushahidi wake unaweza kusababisha mwenzake afukuzwe; will he give adverse testimony? Or can he be convinced to say whaever is needed to make sure his fellow students are set free?

  Whatever the outcome of this,kwa hawa wanafunzi 40,na wale watatu walio Mahakamani,wale watakaotoa ushahidi wanayo responsibility kubwa.
  Sjeria zanamlinda mtu asitishwe wakati anatoa ushahidi.

  Lakini,when the excitement of the event is over,hakuna mtu analazimishwa kuzungumza maneno ambayo he is not convinced about any more.
   
 2. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Kumfukuza mwanafunzi ni kumuua. Kama alivyokuwa anasema yule lecturer wa UDSM juzi,kumfukuza Mbunge kutoka kwenye Chama ni kumuua. Madaraka ya kuua yasiwekwe katika ngazi za chini za uongozi. Huo ndio Utawala Bora.
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Maelezo yako nayapinga kabisa hapa,je kama mtu huyo/watu hao wanaharibu mustakabali mzima wa elimu na wao ni wachache sasa si bora wakafukuzwa ili kuwalinda au kuwasaidia ambao hawajihusishi na lolote? Njb hapa tuendelee
   
 4. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ni wale wa kipindi kile cha mgomo wa Nov mwaka jana au hawa wa Jan mwaka huu?
   
Loading...