Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,568
Again, the bible is subject to arbitrary interpretation.
Which makes it practically meaningless.
A Point of View.
wamoja wapi nyie wakati kila mtu ana mungu wake. we unataka kusema umungu wa yesu ni sawa na umungu wa allah?
Kwani waliofanya mtihani ijumaa hakukuwa na waislam?.hivi huu upuuzi wa kuleta harakati shuleni utaisha lini? Hivi huo mtihani si kama wa yule myaudi yesu aliyemponya mtu siku ya sabato kisha wale wanafiki wakamwendea na kumkaripia naye akawauliza kama kondoo wako angekuwa katumbukia shimoni siku ya sabato ungemuacha afe ?. Mimi nawaambia hizi dini ni utumwa wa fikra tu ambao huwezi kuhakiki ukweli wake.
Kwani waliofanya mtihani ijumaa hakukuwa na waislam?.hivi huu upuuzi wa kuleta harakati shuleni utaisha lini? Hivi huo mtihani si kama wa yule myaudi yesu aliyemponya mtu siku ya sabato kisha wale wanafiki wakamwendea na kumkaripia naye akawauliza kama kondoo wako angekuwa katumbukia shimoni siku ya sabato ungemuacha afe ?. Mimi nawaambia hizi dini ni utumwa wa fikra tu ambao huwezi kuhakiki ukweli wake.
kiranga this kind of thinking ipo miaka kama mia moja mbele ya thinking ya kawaida ambayo ndo majority walimo, wakiwemo hawa masalia. katika jamii huwa kuna watu wachache wanaofikiria miaka mia moja mbele zaidi kuliko fikra za kawaida za leo leo za jamii inayowazunguka na mara nyingi watu wa aina hii hupata shida ya kutoeleweka ama huonekana wasaliti wa jamii au wabishi. mfano ni shida aliyokuwa anapata mzee Kambarage miaka ya sitini na sabini. yeye fikra zake zilikuwa miaka mia mbele wakati wabongo wengi nyakati hizo ilikuwa hata kuchamba hawajui. leo hii ndo watu kidogokidogo wanaanza kumfahamu nyerere na fikra zake...unfortunately NI miaka mingi baadaye baada ya kifo chake.Korea huko watoto wamesoma shule siku tano wanaona hazitoshi wanaongeza siku ya sita.
Tatizo lao linakuwa wanafunzi wanasoma sana, hawapumziki, hawapati nafasi ya kucheza, inabidi wazazi wawe wanawawekea watoto ratiba za kusoma ili wasipitilize muda.
No wonder tunazidi kuwa consumers na importers tu.
Sie tunahangaika na bloody sabbath ambayo miaka mia moja unusu tu iliyopita hatukuijua, tunaihangaikia kuliko ma Jews wenyewe wa Brooklyn ambao ancestors wao ndio wameiandika hiyo Biblia.
Nyerere katuambia tunatakiwa kukimbia wakati wenzetu wanatembea ili tuwafikie.
Leo tunataka kutambaa wakati wenzetu wanapaa!
kiranga this kind of thinking ipo miaka kama mia moja mbele ya thinking ya kawaida ambayo ndo majority walimo, wakiwemo hawa masalia. katika jamii huwa kuna watu wachache wanaofikiria miaka mia moja mbele zaidi kuliko fikra za kawaida za leo leo za jamii inayowazunguka na mara nyingi watu wa aina hii hupata shida ya kutoeleweka ama huonekana wasaliti wa jamii au wabishi. mfano ni shida aliyokuwa anapata mzee Kambarage miaka ya sitini na sabini. yeye fikra zake zilikuwa miaka mia mbele wakati wabongo wengi nyakati hizo ilikuwa hata kuchamba hawajui. leo hii ndo watu kidogokidogo wanaanza kumfahamu nyerere na fikra zake...unfortunately NI miaka mingi baadaye baada ya kifo chake.
kama umejibu kishabiki basi na uendeleesiku zote huduma zinazotolewa na taasisi za kikatoliki zina kera na kuudhi saana unaweza hata kujiuza wanamtumikia Mungu yupi! wakatoliki wanaudhalilisha Ukristo
kwanini wasiende vyuo vya serikali kama wanaona masharti ya Rc yanawakaba hivi wewe kwa mfano unaweza kwenda pale moro kwenye chuo cha waislam na kuwapangia taratibu ambazo wao hawayifuati?
Kama wao walienda Rc chuoni kufuata elimu bora wakubaliane na masharti yao laa kama hawawezi waende kwenye vyuo vya serikali. Tusitafute lawama zisizo kuwa na msingi hapa.
Mbona tunasikia mkuu wetu wa nchi alisoma kwenye vyuo vya rc na moja ya masharti ilikuwa shart uwe mkatoliki yeye kwa kupenda elimu akaona abadili jina la kiislam akajiita Samwel Luhanga no wonder hata rozari alikuwa anasali kwa kuwa kengo lake alikuwa analijua hakuona shida alimaliza masomo yake na leo ni Raisi
Halafu hao mnao watetea mnajua kama hata wimbo wa taifa huwa hawaimbi na ndio maana hawakutaka kwenda vyuo vya serikali sasa kama wanataka kusoma bila shida walishauri kanisa lao lianzishe chuo. Laa kama hawawezi wawe tayari kukubaliana na masharti ktk chuo chochote au wakae nyumbani.
BACK TANGANYIKA
Bagheshi goko Kiranga nabona wiza Kasi sn!
Naswali jepesi tu kwako ni Aya gani ktk Maandiko yasema Yesu alifanya kz km kz? Ebu ilete hapa wote tuchangie Pamoja!
Pole sn ndugu yng Kiranga
Nilikuuliza hivi ni wapi ktk Maandiko kumeandikwa kwamba Yesu alifanya kz km kz!
Nakushangaa ndugu yng unaleta mafungu ambayo Yesu tayari keshayatolea majibu!
Umeambiwa ni vema kufanya lililojema ktk siku ya sabato! Sasa Nataka uniambie Au unioneshe wapi Yesu alifanya kz km kz km vile kulima Au kuchonga etc! Sio uje Na mistari ambayo tayari inakusuta!
Na ukumbuke Kua nimekwambia Naona unakuja Kasi sn utachemka Mkuu Msukuma mwenzangu!