Wanafunz elfu tsa wafutiwa matokeo alafu waende wap???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunz elfu tsa wafutiwa matokeo alafu waende wap????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Davis julius, Dec 15, 2011.

 1. D

  Davis julius Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baraza la elimu limetangaza kuwafutia wanafunz zaid ya elfu tsa matokeo yao ya darasa la saba:sawa wamekosea kuigiliziana lakini wanafunz wte hwa wataenda wap 2kumbuke kwamba sio wazazi wote wenye uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule za watu bnafsi kwa maana hyo watoto hawa wataenda kuwa majambaz,wavuta bangi,wabakaji alafu serkali ije kuwakamata lakini nan kasababsha yote haya ni wao dis isnt fair at al..???? Hawa watu wanatengeneza matatzo ili watutawale dis is t!
   
 2. D

  Davis julius Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv hii inavyowafukuza hwa wanafunz wte inategemea waende wap sio wazaz wte wnye uwezo wa kuwapeleka wtt wao prvt
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sasa jamani kama wanamatatizo lazima sheria ifanye kazi sasa we unataka wawachukue 2 hivyo X 2 hata kama wanamakosa.
   
Loading...