Tarehe za huzuni kwa hawa waendao kwa miguu mshana jrIla hawana mwenyewe na hawabanduki kino
.....kwenye mashine ya mpare mmoja...!Wako huku mabatini wanaishi kwenye mashine ya mpare mmoja
Wakifunguliwa tu wanakimbia mpaka kwenye zebra wanasubiri wanavuka kwenda maeneo ya
LINEPOLICE kwenda kuchunga
jioni mtindo mmoja wakibanwa sana wanaangalia walipo watu wengi wanaotaka kuvuka na wenyewe wanaliunga
Bila shaka hapo ni magomeni kanisani