Wanafundishika kumbe

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
0ce315f918b93fb6613c88bddd91065c.jpg
 
Wako huku mabatini wanaishi kwenye mashine ya mpare mmoja
Wakifunguliwa tu wanakimbia mpaka kwenye zebra wanasubiri wanavuka kwenda maeneo ya
LINEPOLICE kwenda kuchunga
jioni mtindo mmoja wakibanwa sana wanaangalia walipo watu wengi wanaotaka kuvuka na wenyewe wanaliunga
 
.....kwenye mashine ya mpare mmoja...!
 
Ni mashine ya kusaga nafaka ni ya mpare maeneo ya kituo cha daladala zinazotoka Igoma kwenda mjini wale mbuzi wana akili kama binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom