wanafiki wanajiandaa kusherekea siku ya uhuru wa Tanganyika,AIBU kwa ccm

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Tanganyika ilikataliwa kwa nguvu zote na wana ccm,ni hao hao watajazana uwanja wa Taifa kusherekea kumbukumbu ya uhuru wake hapo tarehe 9/12/2015 wakiwa na lundo la msafara na hotuba nyingi
 
Back
Top Bottom