Wanafanya ubunifu mkubwa bila kuangalia soko linataka nini hakuna tofauti

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
1,898
2,000
Habari wakuu

Kweli wanajitahidi kutulea mabadiliko makubwa lakini kwenye hili wamefell vibaya kutuletea I phone 12 kipindi kifupia baada ya I phone matolea ya nyuma yake bado yanauzika na ndio dreams kwa wengi zaidi kuyanunua hakuna utofauti mkubwa kwenye toleo ilo

Hata ukija kwenye hizi gari zinakuja na matoleo yakufanana sana land cruiser la mwaka 2017 na mwaka 2010 ukiangalia utofauti ni mdogo sana kwa muonekano wa nje labda ni zile taa za mbele ndiyo zimeondoa mfanano

iphone-12-pro-concept.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom