Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 528
- 123
Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU
"Nothing is more terrible than to see ignorance in action." (Johaan Wolfgang Von Goethe)Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU
Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU
Ka nini mshahara huwa unachelewa wakiwa ziaraniKwani ameleta medani gani toka Shamba jangili yule zaidi ya kwenda kuwafumba macho waliolala.lengo la kusafiri na treni ni kuona fursa za tembo anaowinda mikumi na ruaha.
Cheap politics . . . . . . .kupanda treni ndio anafanana na sie walalahoi! Waendelee kuwadanganya hao wachache waliopo zama za analog.....wengi tupo huku zama za digital HATUDANGANYIKI TENA, IMETOSHA!
Treni yenu imefufuliwa na mwakyembe kwa kutumia jasho, damu na machozi na juzi juzi walitaka kuiua tena ili daladala zao ziendelee kubabanisha abiria!
Poor ccm! poor kinana!