Wanadar es salaam mnakaribishwa sasa kumpokea kinana na msafara wake TAZARA DAR

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU
 
Kwani ameleta medani gani toka Shamba jangili yule zaidi ya kwenda kuwafumba macho waliolala.lengo la kusafiri na treni ni kuona fursa za tembo anaowinda mikumi na ruaha.
 
Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU
"Nothing is more terrible than to see ignorance in action." (Johaan Wolfgang Von Goethe)
 
Wakuu karibuni kumpokea katibu mkuu kinana na msafara wake sasa, amewasili kutoka njombe na train ya tazara. Watu ni wachAche sana wamekesha wakimsubiri, mziki ni mkubwa sanaaaaaa, KARIBUNI WAKUU

Cheap politics . . . . . . .kupanda treni ndio anafanana na sie walalahoi! Waendelee kuwadanganya hao wachache waliopo zama za analog.....wengi tupo huku zama za digital HATUDANGANYIKI TENA, IMETOSHA!

Treni yenu imefufuliwa na mwakyembe kwa kutumia jasho, damu na machozi na juzi juzi walitaka kuiua tena ili daladala zao ziendelee kubabanisha abiria!

Poor ccm! poor kinana!
 
Kwani ameleta medani gani toka Shamba jangili yule zaidi ya kwenda kuwafumba macho waliolala.lengo la kusafiri na treni ni kuona fursa za tembo anaowinda mikumi na ruaha.
Ka nini mshahara huwa unachelewa wakiwa ziarani
 
Cheap politics . . . . . . .kupanda treni ndio anafanana na sie walalahoi! Waendelee kuwadanganya hao wachache waliopo zama za analog.....wengi tupo huku zama za digital HATUDANGANYIKI TENA, IMETOSHA!

Treni yenu imefufuliwa na mwakyembe kwa kutumia jasho, damu na machozi na juzi juzi walitaka kuiua tena ili daladala zao ziendelee kubabanisha abiria!

Poor ccm! poor kinana!

no ni ya tazarafrom makambako njombe alipochezea za uso, tang alipotoka jana.. Sasa ndio kawasili makada wapo wachache sana.
 
anarudi kimya kimya...hamkuchukua vijana matawini huko na kuwalipa kuja kukesha hapo?
 
nikupoteza rasilimali tu watu kutwa nzima wamekesha, mziki posho na mapambo nk kisa kupokeana tu kinana mwenyewe yupo full usingz now, kazi kweli wakuu njoon bac kuoko jahaz kumpokea jamani.
 
Hizi siasa za maigizo za chama ambacho kimeshika dola kwa muda mrefu na bado wanafanya maigizo inashangaza.Kinana amefanya nini cha msingi katika nchi hii? Lumumba fc nendeni mkampokee bosi wenu mwambieni tembo wetu
 
amepanda treni? nani asejuwa kama anafanya maigizo? huyu Katibu Mkuu wa CCM ndo BOGUS kabisa kuwahi kutoke. Anadhani CCM itapendwa kwa yeye kupigwa picha akiwa amebeba matofali? Poor him, Poor Nape, Poor Asha
 
Habari ya Mjini ni vyama vya upinzani sio
Ccm ambacho kiatu chake kimeshaubana
mguu ni bora kukivua kutafuta kiatu
kingine ambacho ni Upinzani.

Kupanda treni ni sanaa za maonyesho
kwa Ccm kumbukeni habari ya EPA
magereza yalifanyiwa ukarabati ili hao
wajao wasipate tabu humo gerezani

Ccm siku zao zahesabika namna nzr ni
kuondoka taratibu tu. Ona nchi chache
kama Malawi,Zambia,Kenya,Ghana,Msumbiji,
vyama tawala vimeondolewa madarakani
kitambo sasa tunangoja hapa Home.
 
Amepanda trein ili aone ni wapi kunapatikana TEMBO wengi ili afanye mambo yake!.
 
tabu ni ambapo wamama waliokuwa wanaimba wameachwa kavu, majama yamesha ondoka sasa wanaulizana, wengi wanalalamika wanaelekea buguruni chamani.
 
Back
Top Bottom