Wanadada wanavyowatambulisha wapenzi wao wenyesura mbaya

hahahahahhaahah, umenikumbusha miaka ya nyuma pale Moshi mjini eti wadada ilikuwa fahari kuwaambia wenzio kuwa "NIMEPATA BWANA ANGU, ANA HELA NI MWIZI WA MAGARI" hahahahahhahah
 
Kwa hiyo ukisikia umetambulishwa hivyo ujue sura yako ni mbaya. hahaa!
 
d47f061f85326d49c806e361f964ca8d.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom