Wanachuo udom lini watapata haki yao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo udom lini watapata haki yao!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nchagwa Chacha, Jun 16, 2011.

 1. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kupewa haki zao za msingi matokeo yake wanafungiwa chuo pasiko kujali maslahi binafsi ya wanachuo. kama sikosei wanachuo wanatakiwa kuanza mitihani very soon mwezi wa 7 sasa kwa style hii wataweza vipi kufanya mitihani while wamefungiwa kwa wakati usiojulikana.

  kilio changu kwa Serikali angalieni tatizo kwanini UDOM Tu mbona vyou vingine hawagomi!!!! nyie mnakaa maofisi mnakula bata watoto wa wenzenu mnawapeleka peleka tu pumbavu zenu.
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  kweli bana.... siasa zinaonekana kutumika zaidi! haiingii akilini mtu ansoma kiswahili anaenda field then mwingine anaesoma utawala au mipango eg bapa na ba ppm & cd haendi field. unashindwa kuelewa ni vigezo gani vilitumika..........aaaaaaahhh. bongo bana!!!!!!!!!!
   
 3. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kwa kweli Uongozi Mbovu badala ya kutafuta namna ya kutatua tatizo wanawafukuza wanafunzi
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ni Chuo Cha CCM

  Lini haki itatendeka? kila Mara Nnauye anakitembelea kama ni chake; Chuo mali ya serikali sio ya Chama
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ebu waone, wanachekelea tu kudai posho wakati kuna sector muhimu kabisa zinahitaji kuboreshwa. Madai ya wanafunzi wa Udom ni ya maana na ni haki yao hivo yasipuuzwe. We Bwana Shukuru wewe, tangu lini mtu akaendesha gari kwa kutumia sikio? Mafunzo kwa vitendo ni muhimu wala msichekelee watoto wa watu kufukuzwa. Natumai Udom wamefungua mlango na wanavyuo wengine wanaofanyiwa ulaghai huu watafuatia. Hivi mmetumwa na wananchi mkafanye nini kama sector ya elimu ambayo ni muhimu inawashinda? Haya mmesema mtaongeza posho kwa wanafunzi wa elimu ya juu sawa hilo ni zuri kwa sababu kweli gharama za maisha zimepanda, je mnafikiria nini kuhusu asilimia ya mkopo wa ada kwa wanafunzi wote wanaosoma kwenye vyuo vyenye ada kubwa zaidi ya mil1.5? Basi asilimia iliyopewa bodi ya mikopo itumike na kwenye ongezeko la ada hata kama ni chuo binafsi si nyie ndo mnaowapeleka kupitia tume ya vyuo vikuu yaan T.C.U!....after all anaesoma ni mtanzania kwanini msiwajali?
   
 6. D

  Danniair JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukweli utabakia kuwa kweli tu, hakuna hata mwanasiasa mmoja aliyetayari kutetea maslahi ya wanafunzi Tz. Wengi wao watoto wao wako nje. Wakati mimi nasoma chuo kikuu, chuo kilifungwa na tukaamliwa kurudi VIJIJINI. Tena huko tulikuwa chini ya uangalizi wa mkuu wa wilaya, hakuna kutoka nje ya wilaya bila kibali chake na kisizidi siku 3. La ajabu chuo kilipofunguliwa watoto wa vigogo wanatusimulia safari zao za Marekani kwa kipindi cha miezi tisa tuliyokuwa vijijini. Swala la wanafunzi likichukuliwa vyema na heshima hakuna kutiana hasara ya kufunga vyuo.
   
 7. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kiukwel watoto wa vigogo wote wanasoma nje hawawezi kuwaonea huruma watot wa wakulima cause hawaoni hasara yake.
   
Loading...