Wanachuo pitieni hapa mnipe mbinu mwenzenu

Soma Kwanza. Hizo kazi zngine utafanya tu maliza chuo Kwanza
Mkuu kama kuna mbinu nipe.

Nadhani hata Chuo naweza nisimalize kwa mwaka huu wa masomo 2020/21 kama mambo yangu yakienda vizuri kufikia hatua ya kushawishi wazee.

Kwa tatzo la ajira nchi hii, Program ninayoiSoma sitatoboa kabisa bora nijiendeleze tu na kile ambacho nakiamini kitanitoa.
 
Nje na haya masomo ya Chuo kuna kazi ambazo huwa nazifanya ambazo huwa zinaniweka busy muda wowote ambao ninakuwa niko free.

Kama sio wazaz kulazimisha kuja Chuo nisinge kuja kabisa maana nilikuwa na uhakika wa kuingiza kipato kizuri tu kwa siku.

Kuna muda kama wa likizo na weekends ambazo huwa ni siku nzuri sana za kufanikisha hizo shughuli zangu nje na masomo.

Nahitaji kutumia pia muda wa Field kuendeleza shughuli zangu. Naombeni mwenzenu mnipe mbinu ambazo naweza kutumia kukwepa hii Field na kuutumia muda huo kuendeleza kile ambacho nina kiamini

Note: 1. Ufwatiliaji wa Field work katka hiki chuo chetu hakuna. Kwahiyo kama kutakuwa na njia yyte ya kukwepa au kuForge naombeni msaada.

Hiki ninachokisoma nikwamba nimelazimishwa tu, hakuna future yyt ninayoiona huku, so sioni umuhimu wa Field kabisa.
nipe mchongo na mimi maana mimi niko free 24hr kila siku asubuhi mchana mpaka jioni
 
kitu unachosoma si kwamba ndio kinakuweka sokoni uwezo wako wa kufanya hicho kitu ndio soko lako
just tafuta professional certification acha sera
Mkuu ulishawahi kulazimisha kufanya kitu ambacho hukipendi?

Hata ukazane vpi, kama kitu hakipo akilini mwako huwez toboa.

Hayo maswala ya vyet yapo tu, na wapo ambao wanavyo na haviwasaidii chochote.... Na nadhani hapa tuko nje ya mada.
 
nipe mchongo na mimi maana mimi niko free 24hr kila siku asubuhi mchana mpaka jioni
Sio kitu ambacho kila mtu anaweza kukifanya. Ingekuwa kila mtu anaweza kukifanya nisingeanzisha huu uzi.

Hapa namaanisha kwanzia location niliopo, connection nilizonazo, family background, na muda ambao nimeutumia kuanzisha had sasa.
 
Aliesema mshika mawili moja humponyoka usidhani ni FALA.
Ndiyo maana nataka niachie moja (Masomo) ni baki na kazi, maana mwisho wa siku cha umuhimu hakitakuwa Cheti bali ni uwezo wa kupeleka mboga nyumbani.
 
Mkuu ulishawahi kulazimisha kufanya kitu ambacho hukipendi?

Hata ukazane vpi, kama kitu hakipo akilini mwako huwez toboa.

Hayo maswala ya vyet yapo tu, na wapo ambao wanavyo na haviwasaidii chochote.... Na nadhani hapa tuko nje ya mada.
kuna tofauti ya professional qualification na academic qualification
ni kweli ufaulu wa vyeti haudetermine uwezo wako wa kufanya kazi
ndio maana nimekuambia ujikite katika kutenda actual kwenye real life issues

kingine wewe hapo mpaka ukafikia kwenda chuo umekomaa vya kutosha na ungepaswa kuchagua unachokipenda

wewe kushindwa kufanya hivyo basi ni ubovu wako wa maamuzi
umeshindwa kutetea unachokihitaji
labda kama ulitishiwa usiposoma hicho cjui ni wazazi au walezi walikuwa wanataka usome huenda wangekuaa
kinyume na hapo huo ni uzembe mtakatifu

nyongeza nyingine ni issue ya ufaulu wako pia huenda ni limitation
 
Mkuu kuna maono mengine unakuwa unaUhakika nayo kabisa ila unakuwa huaminiki.

Ni kweli swala la Ufaulu kwenda kwenye kile nilichokuwa nakitaka hukujitosheleza. Nilikataa Chuo baada ya hapo ila huwez kuamini wazee walishirikiana ndugu wengine ambao kidogo wamefika vyuo na kunifanyia maombi.... Hapa nilishindwa kukataa maana hawakukiamini kile nilichokuwa nakiamini (nafikiri bado wanadhani mfumo wa sasa ni kama ule wa kipindi chao).
 
mfano wewe ulikuwa unaamini kwenye nini?
 
mfano wewe ulikuwa unaamini kwenye nini?
Huko tunafika mbali.

Embu mkuu nipe msaada kulingana na mada nilioianzisha, hata kama unaona ni hatar lakini ndio nilicho kichagua. Kuna msemo huwa unasema "Every success has its own sacrifices". Nimechagua kuSacrifice vitu kama hivyo Field na vingine vingi tu.
 
hapa nimeuliza kwa sababu nowadays c lazima kila kitu ambacho ulitaka kukisoma ni lazima ukisome class au kila kitu unachotka kukijua lazima ukijulie class
wewe kama unataka kusaidiwa sema nini kilikuwa ni ndoto yako
au now unafanya shughuli gani
mficha maradhi kifo humuumbua
 
Usiache mbachao kwa msala upitao, inaonekana unaijua mbachao ni nini na msala upitao ni nini, mshika mawili moja humponyoka. Lakini pia asiye sikia la mkuu huvunjika guu !
 
Back
Top Bottom