Wanachuo Kufanya kazi za tume ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo Kufanya kazi za tume ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ramos, Aug 5, 2010.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zipo taarifa za kuaminika kuwa tume ya uchaguzi mwaka huu haitawatumia tena walimu katika shughuli zake wakati wa uchaguzi mwaka huu. Badala yake tume imewachukua baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikuu na sasa wapo kwenye training sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuifanya hiyo kaz, na baadhi yao ndio waliotumiwa Zanzibar katika kura ya maoni...
   
 2. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni bora ili walimu wawe free kufanya maamuzi yao kuliko zamani walivyokuwa wamefungwa na NEC bila wao kujijua.
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sio mbaya kabisa.
   
Loading...