Wanachemia

Mkuu umenikumbusha mbali ichape na Hexane with reagents Cr oxide and al oxide katika temperature ya 500 degree centigrade unapata benzene.
 
Wewe inawezekana tumesoma wote UDSM enzi hizo za Mkandawile. Vipi shule yake ya sekondari aliyoanzisha inaedneleaje?
Kukariri hayo yote ,kukimbizana Dar kumenipelekea sasa kula bata mbele. Mkandawile oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umenikumbusha mwanasayansi kekule ambaye alivumbua structure ya benzene baada ya kuota ndoto ya kima sita wanacheza mduara/ashiria jinsi carbon atoms sita za benzene zilivoungana umbo la pembe sita.
 
Kandamiza na mimaji then utapata nini cjui af igonge trimalization!benzene kwisha khabar yakeeee!lol...
 
Mkuu umenikumbusha mbali ichape na Hexane with reagents Cr oxide and al oxide katika temperature ya 500 degree centigrade unapata benzene.
lugha yenyewe ya kikemia ungeandika hivi:

n-hexane --> benzene

Reagent- Cr[SUB]2[/SUB]O[SUB]3[/SUB]-Al[SUB]2[/SUB]O[SUB]3[/SUB]- 500[SUP]o[/SUP]C
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom