Wanachama wawe wabunifu ili chama kiweze kijiendesha badala ya kuendeshwa na watu wachache

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
"Wanachama wawe wabunifu kuhusu namna ya kuendesha Chama bila gharama kubwa na kuendesha Chama kwa kutumia nguvu zao wenyewe, ili chama hiki kiweze kutumikia watu wote badala ya kuendeshwa na watu wachache wenye uwezo"

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally tarehe 1 Novemba, 2019 akizungumza na waandishi wa habari alipozindua vyombo vya Muziki vya Bendi ya Chama TOT, Lumumba Jijini Dar es salaam.
IMG-20191028-WA0022.jpeg
 
Hongera bashiru
Tunataka chama kirudi kwa wanachama kama enzi za Nyerere

Tofauti na miaka ya karibuni chama kilihodhiwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom