Wanachama wa UWABATA tukutane hapa kujadili mipango ya chama

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Kuna mwanachama mwenzetu alishatuwakilisha kwa.kuhonga 7800 dem katoma Mwanza hadi Dar

Karibuni mabaharia

Moto:Kuna pesa naisikilizia

FB_IMG_1614670071841.jpg
FB_IMG_1614686778578.jpg



Marufuku kuhonga au "kutuma na yakutolea"View attachment 1717706
 
Kumpa demu hela haijalishi ni sh ngapi bila wewe kupewa chochote hakuna tofauti na mshahara hewa.

Tuamke
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom