Wanachama wa Perfect Internet tuanze kupendekeza biashara zilizopo maeneo yetu sasa

mendz

Senior Member
Dec 9, 2013
144
0
Tuzipendekeze biashara zilizopo kwenye maeneo yetu zenye bidhaa na huduma bora kama maduka, mahoteli, kumbi za starehe, hospitali, shule, vyuo, Sanaa za mikono, n.k. ili ziweze kupata matangazo ya bure kupitia mtandao wetu wa Perfect Pages (Perfect Pages). Mapendekezo yameanza tangu November 2013 na tovuti ya Perfect Pages itafunguliwa rasmi 1st March 2014. Kila biashara itakayopendekezwa itapata cheti cha mapendekezo kutoka Perfect Internet ambacho wanaweza kukiweka kwenye maeneo ya biashara zao ili wanachama wa Perfect Internet wajue kuwa biashara hiyo imo ndani ya mtandao wao.

Kupendekeza biashara, login hapa The Perfect Pages. Kama wewe bado si mwanachama na ungependea kupendekeza biashara basi jiunge hapa kwanza goo.gl/dYTmmN

Matangazo yatakayopata biashara utakazozipendekeza yataziwezesha biashara hizo kujulikana ndani na nje ya nchi na hivyo kuzisaidia hizo biashara kukua na hivyo kutoa mchango wako katika ukuaji wa uchumi wa Taifa letu.

Utapata Deal Points 20 kwa kila biashara mpya utakayoipendekeza. Kwa sasa kila Deal Point moja ina thamani ya $0.01 hivyo ukipendekeza biashara 10 itakuwa sawa sawa na thamani ya $2. Baadaye biashara utakazozipendekeza zikiamua kutumia huduma za ziada za kulipia za matangazo au mauzo kupitia mtandao wa Perfect Internet basi utapata Deal Points 50 kwa kila biashara uliyoipendekeza. Kwa biashara hizo 10 basi jumla utakuwa umepata Deal Points 700 ambapo kwa thamani ya sasa ni sawa na $7.

Biashara zitakazokubali kuuza bidhaa/huduma zao kupitia maduka ya mtandaoni ya Perfect Internet kwa kutoa discount kwa wanachama wa Perfect Internet basi biashara zao zitaweza kununuliwa mtandaoni na wanachama wa Perfect Internet. Biashara hizi zitaunganishwa vilevile kwenye mradi wa Perfect App kwa ajili ya kuuza biashara zao na hivyo kuongeza chanzo cha mapato kwa wanachama wanaotumia Perfect App badala ya kutegemea matangazo ya biashara pekee. Nafasi za kazi za Profit Instructors watakaowasiliana na biashara zilizopendekezwa ili kuwafahamisha kuhusu fursa zaidi zilizopo ndani ya Perfect Internet kwa wafanyabiashara tayari zimeshaandaliwa ambapo kila mji hapa duniani utakuwa na Profit Instructor hivyo kuna maelfu ya ajira chini ya mradi huu wa Perfect Pages pamoja na idara zingine za Perfect Internet zinazohitaji kujazwa.

Biashara utakazozipendekeza hazitokusahau wewe uliyezipendekeza kwa kuziwezesha kupata matangazo ya bure pamoja na mafanikio ya kibiashara yatakayopata kupitia mtandao wa Perfect Internet.

Tunatumia Deal Points zetu kwa kununua bidhaa/huduma zinazouzwa kupitia mitandao ya Perfect Internet hivyo itakuwa vyema kama tutatumia Deal Points zetu kununua bidhaa/huduma za kwenye biashara zilizoko maeneo yetu ili kuwa na uhakika wa bidhaa/huduma tunazonunua pamoja na kusaidia uchumi wa eneo lako.

Perfect Internet tayari imeshaingia kwenye list ya tovuti bora 3,000 duniani mpaka sasa ingawaje ilianza miaka miwili tu iliyopita. Kwa mwaka wa 2014, Perfect Internet itaendelea kupanda chati kutokana na tovuti hii mpya ya Perfect Pages ambayo ni Directory pekee ya Biashara hapa duniani inayoundwa kwa kutumia wanachama wake walioridhika na bidhaa/huduma walizopata kutoka kwa wafanyabiashara. Mpango uliopo ni kwa Perfect Internet kuingia kwenye list ya tovuti 100 bora duniani mpka mwisho wa mwaka 2014 ambapo Perfect Internet imepanga kuingia kwenye soko la hisa la kidunia litakalotangazwa wakati huo.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom