• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Wanachama wa CUF tujitokeze kugombea nafasi mbalimbali katika Maeneo yetu Uchaguzi HuuTutasimamisha Wagombea Nchi nzima."Prof.Lipumba

CUF Habari

CUF Habari

Verified Member
Joined
Dec 12, 2019
Messages
30
Points
125
CUF Habari

CUF Habari

Verified Member
Joined Dec 12, 2019
30 125
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Lipumba Asisitiza Wanachama Tujitokeze Kugombea Nafasi Mbalimbali Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu katika maeneno Yetu Mbalimbali.

Prof.Lipumba amesema hayo alipokuwa katika Wilaya ya HANDENI VIJIJINI alipokuwa anazungumza na Wanachama na Chama Cha CUF Wilayani Hapo.

#Mwendelezo Wa Ziara ya Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof Lipumba Mkoani TANGA
 

Forum statistics

Threads 1,403,209
Members 531,118
Posts 34,417,319
Top