kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,423
- 13,935
Hatima ya CUF na NCCR mageuzi kushiriki kwenye UKAWA tena kama vyama iko mashakani. Ushauri wa bure kwa wana UKAWA ni kwamba wanachama wote wa CUF and NCCR kuchukueni kadi za chadema na mgombee na kupiga kura kwa tiketi ya chadema lakini UKAWA. Viongozi wa vyama vilivyoko kwenye UKAWA ratibuni zoezi hilo kama mnataka ahueni muda utakapofika. Kama mtapuuza ushauri huu tutakutana tena hapa hapa jf 2020.